Tujikumbushe Kidogo

BSL

Member
Dec 15, 2018
86
98
Miaka kadhaa imepita baada ya aliyekuwa kamanda mwaminifu na mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Geita ndugu Alphonce Mawazo kufariki mgombea uraisi wa kipinde kile ndio Lowasa aliahidi kuitunza familia ya marehemu ukiwa pamoja na kumsomesha mtoto wa marehemu aliyeachwa je ahadi hiyo ilitimizwa ? Nimeikumbuka hii baada ya kumsikiliza mtalibani mmoja ndugu Sumaye teh teh teh hata Kama ni Mimi napiga kura nisinge kupatia kura yangu maana wewe bado Una damu ya kijana halafu tukukabidhi chama thubutu
 
Back
Top Bottom