Tujikumbushe kejeli za Yanga dhidi ya simba ilipoanza CCL

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
508
367
1. Mnaenda kulitia aibu taifa.

2. Mechi mbili tu jezi mpya za nini!!!??(Simba walipoanza mashindano CCL walitengeneza jezi mpya) wakimaanisha simba ikienda Algeria na kurudi ndio mwisho wao.

3. Mnaenda Congo mnakula hamsa tena
4.....
5.....
 
Rasmi zile hamsa zinaanza tena tusubir tusubir tusubir tusubir tusubir tusubir mpka wamechoka kusubir
 
Eti simba underdog kwasababu Aly ahly ina kikosi cha gharama.
 
Waheed-moja.
Thalatha-tatu.
Arbaa-nne.
Khamsa-tano.
hivi ndivyo Yanga walivyokua wakifundishana kiarabu ili kuhesabu magoli watakayofungwa Simba watakapokutana na waarabu CCL.
 
Hivi Uto wanaendelea kupokea wageni uwanja wa ndege ?
Namaanisha timu za nje zinazokuja kucheza na Simba ?
Vipi Kindoki bado anamuweka Bondi Mkewe ?
Yaani achukuliwe na Dume lingine kama Simba itashinda ?

Naona kimyaaaaa......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…