So what?1. Mnaenda kulitia aibu taifa.
2. Mechi mbili tu jezi mpya za nini!!!??(Simba walipoanza mashindano CCL walitengeneza jezi mpya) wakimaanisha simba ikienda Algeria na kurudi ndio mwisho wao.
3. Mnaenda Congo mnakula hamsa tena
4.....
5.....