Tujikumbushe Joshua Nassari na uchaguzi wa BAVICHA

Umesahau Arumeru 2010 alipata kura ngapi akishindana na Naibu Waziri wa Magamba?
 
inasemekana alipata kura 2 sasa kama wanachama wenzake hawamuamini arumeru mnamuamini vipi?
Hivi una taarifa kuwa alikuwa spika wa UDSM......unataka kumlinganisha na huyo shoga wa CCM...hahahah kweli umeamua kuchekesha
 
...hapa natutaki habari za kusemekana. Ndo matatizo ya kufakamia gongo bila kushiba!!
 
Kamanda nanyaro kuna watu wengine wamezoea mambo ya msanja tuwaache hao ,na propaganda mfu twende mbele mpaka kielewekee
 
inasemekana alipata kura 2 sasa kama wanachama wenzake hawamuamini arumeru mnamuamini vipi?

kwa hiyo unataka kusema kubebwa. au hawana mtu competent wa kusimama arumeru zaidi yake. naungana na wewe kusimamishwa kwake pale panatia mashaka hasa.
 
Uchaguzi wa BAVICHA umeshaisha,wewe baki na kura zako mbili,hizo ni propaganda za kijinga

sawa uliisha, lkn tulijifunza nini juu ya kura 2 alizopata.,? inawezekana hana mvuto ndini ya chama? kwa nini hana? je inawezekana akawa na mvuto nje ya chama na hasahasa arumeru? kukimbilia kusema kuwa hizo ni propaganda ni dalili za kuishiwa hoja jambo ambalo si zuri kwa wana cdm. tulikuwa tunapaswa kujiridhisha vya kutosha kabla ya kumsimika pale.
 
Jamani wengine hatuelewi. Alipata kura 2 wapi? Nahitaji kueleweshwa ili nami nijiunge na wanotukana au nisikitike. Japo kutukana siwezi. Sijazoea tabia hiyo ila naomba nieleweshwe kura 2 zilikuwa za nini na ni kati ya ngapi? 3 au?
 
Back
Top Bottom