katika watu walimu wote Kimasiya alikuwa kiboko,mzushi alikuwa akiingia class ananuka pombe utafikiri amelaa kwenye pipa la mbege, kuna mwalimu mmoja alifarika in the 90s alikuwa anafundisha geography naomba jina lake kama kuna mtu anamkumbuka
Jamani,
Sweet memories... Katara, hilo school bus kumbe bado lipo? Viva Ilboru and Viva Ilborians. Hiyo picha ya kwanza na ya pili kama vile zile siku za usafi??? Najaribu kukumbuka kwa mbali. Hawa jamaa walio mbele ya Katara wananikumbusha mbali sana, mmojawapo kama vile chalii angu Olais, but that was long time ago (96s). Ile picha nyingine iliyoonyesha Chapel inachomoza kwa mbali, inanikumbusha vipindi vya UKWATA kila jioni na ibada za Jumapili ambazo tulikuwa tunahudumiwa na a certain confused old man, at least we called him "Clergy".
Long live Ilboru
Sasa nimeanza kuelewa "KATASA" kumbe Ilboru ilikuja pata basi?? Wow, mambo kumbe yalichangamka in the mid-late 90s and 2000s..... Unajua sisi wa late 80s and very early 90s tulikuwa na 110 moja ya Bluu flani lakini ilikuwa bomba sanaaaa.........
Long live Ilboru!!!! nakumbuka wimbo wa shule, "Shule yangu Ilboru inasifika sana....." huu nao ulibadilishwa au??
Duh, Ab-Tichaz, nimenyoosha mikono kaka.... Sisi tulikuwa wa Rungwe, Meru, Mawenzi na kidoooooogo, Oldonyo!!!!
Big up wakuu!!
Huyo jamaa kwenye bold best wangu sana! alinipokea nilipoingia pale form V, mara ya mwisho nilikutana nae Jersey City in late 90's.
MTEGO= kideo cha Shule
KATARA= mtu ambaye alikuwa na kichwa kikali, anafananishwa na lile gari la shule la bluu
KWA MAMA BENII= kibanda ambacho baadhi ya member wanakula fegi
PICHI= uwanja wa mpira, kule kilimani karibu na Nyumba ya headmaster.
ILBORIASIS MSULIATA= scientific name ya mwana ilboru
Ya mwisho hii naenda kulala.
Dah eeebana we noma!! huo mlango wa kwanza hapo nyuma ya jamaa ktk hiyo picha ni room one ya Kilimanjaro.....niliishi humo mwaka mzima wakati nipo form VI!! Umenikumbusha mbali sana mazee....siku ya mwisho, tulichinja mbusi na washkaji kuiga room kwa nyama choma!!
Abi Titchaz
Asante sana kwa picha ya Chapel, you have revived good memories in me.
Kuna mtu kamkumbuka Mr. Mushi,Qolloqual, the guy was funny! How I miss him, one of his favourite poems "If we must die...."
Kumbe kijana kipanga ile mbaya umeskul special skul tupu alafu ukasoma likombi gumu la PCB.Huyo jamaa kwenye bold best wangu sana! alinipokea nilipoingia pale form V, mara ya mwisho nilikutana nae Jersey City in late 90's.
jamani naomba msaada-mimi nilikatiza kwa mzee binu kwenye 80s, nikumbusheni jina la ugali -msosi tuliokuwa tunakula kwa mabakuli yenye nembo ya T^G na vijiko !
Ila mikate ya bakery ya shule jamani ile ncha ya mwisho ilikuwa mitaaaaaamu mno
Steve yupo U.K!!!