Tujikumbushe ILBORU

Kaka Baba Kite ilikua ni kifupisho cha Kitenge na wala haina uhusiano na Kitemango.

Halafu jina la Logilogi lilitokana n mzee kuzibua magogo the english translation ya gogo ni log hapo ndipo jina lilipoibukia.

Hahaha umemkumbuka hadi Anna khaa,kulikua ni kiongozi mmoja anaitwa Jumanne Mrisho "Top Four" jamaa alichemka form six kwa sababu ya mfadhaiko kwa Anna...Kuna siku jamaa alikwibaga dola kadhaa za mshikaji wa form six ili amuhonge Anna.

Bingwa wa kuanzisha wimbo wa skul alikua jamaa mmoja anaitwa Marwa chamber yake.ilikua pale ofisi ya makwanja na majembe
 
Kwa Ilborians! Chifu is no more...alifariki asubuhi!
May his soul rest in Peace
 
Abi Titchaz

Asante sana kwa picha ya Chapel, you have revived good memories in me.

Kuna mtu kamkumbuka Mr. Mushi,Qolloqual, the guy was funny! How I miss him, one of his favourite poems "If we must die...."

Unaongea Mr mushi aliyeenda kujoin agape seminary as headmaster
 
jamaa alikua mtemi balaah!...ingawa ktk somo la historia alikomalia madenti kuandika essay kwa mpangilio,si ajabu paper ya muhula ikawa ni maswali ya essay tu.
 
RIP Losujack Ole Ngavuti a.k.a Chief!
 
jamani wapendwa,mwl Losujaki hatunae tena kafariki jumanne ya wiki hii asubuhi.tarehe 20/03/2012.atazikwa jumamosi ya tarehe 24/03/2012 kule kwao Sombetini.RIP LOSUJAKI.
 
Nakumbuka kwa miaka sita yote niliyosoma elimu ya sekondari. Katika matokeo ya advance Mzumbe waliwatesa Ilboru. Na mimi nikiwa A'level moja ilikuwa mzumbe na mbili ilikuwa Mzizima tatu ndio iliboru..
teeeh
 
Losujaki Ole Ngavute!
Watu wengi sana hawafahamu hili jina lake..wanafahamu tu chifu!! Bora wewe unalikumbuka jina lake mkuu!

Kweli kabisa ,mimi nimelijua nilivyochomoka pale. Kumbe na ww ni mmmenye!
 
jamani wapendwa,mwl Losujaki hatunae tena kafariki jumanne ya wiki hii asubuhi.tarehe 20/03/2012.atazikwa jumamosi ya tarehe 24/03/2012 kule kwao Sombetini.RIP LOSUJAKI.

R.I.P Mmenye The First
 
You have reminded me mbali sana.
Na headmaster wakati huo Bino. Duu alikuwa anachapa wakati wa umepata under 50.
 

Kweli Rajao hafananii na wamenye kabisa .Ila anaweza akawa ndiye Mwigulu Nchemba aisee-maana naye ni mmenye aliyeasi.Kaamua kuitumia elimu yake/kipaji chake kujinufaisha wakati taifa lilituweka pamoja umenyeni tuje kuikomboa nchhi
 
Naona n wakati wa kujikumbushia tuliko toka! Wazee wa samaki nchanga, ndanda mpo humu! kumbukia sana ulaji wa mbaazi na kuokota maembe maeneo ya liputu, miyoyo, mwena, chikundu n.k. Big up sana shule yetu ndanda kwa nzee nkapa
 
Duh! You have really made my day....Fermented sumu ilikuwa noma hata mimi nilikuwa mhanga wa hiyo new invention!
Btw,ni kweli Mzee Mtui alitangulia mbele za haki some years ago...RIP.
Vipi kina Frank Mdimi(FAM) na vibwozo vya kitei???
Where are guys like Mgaywa wa Magafu??
 
ASHIBORU-Ashira+Ilboru Kura zilikuwa zinapigwa kwenda Social Gathering mabasi ynakodishwa kwenda Ashira Sec Moshi!!!!Those all guds days!!
 

magafu,genius wa 6pcb. Mara ya mwisho nilimsoma akiwa sweden. Jamaa alikuwa na bifu la kudumu na mzulu. dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…