Muhingo Rweyemamu on Aminas Death
Salaam wana Tumaini na wapenzi wa ukweli kote mliko. Tangu Amina
alipofariki usiku wa juzi, mimi binafsi kama Mhariri wa gazeti la Rai,
nimepokea simu na ujumbe mwingi wa simu. Nimepokea emails nyingi tu.
Nimewasikia waheshimiwa, vijana kwa wazee wakiomboleza kifo chake.
Wengine
kama tunavyojua wanajaribu kwa kila wanavyoweza kutaka kubashiri kwa
nini
Amina kafariki katika umri huu mfupi. Mimi ninajiuliza tumejifunza nini
kutokana na kifo cha mwanamapinduzi huyu? Jawabu ninalolipata, ni
kwamba
sisi ni wanafiki.
Wakati fulani, nilikuwa kuandika makala ya ukurasa mzima katika Rai
nikisema: WANAOMPENDA AMINA, WATAMLINDA. Kwanza wana Tumaini nataka
niwaeleze kwamba Amina alikuwa rafiki yangu na mshauri wake. Siku
alipopata
matatizo ya kuanzisha urafiki na mume wa mtu mwaka 1999 wakati huo
akiwa
Tambaza kidato cha tano, mimi na aliposongwa na mashutumu na majaribu
mengi, mimi na mwandishi mwenzangu, Absalom Kibanda, ndiye tulimpa
ushauri
wa kuwaambia walimu wake. Tulimshauri akubali na awaeleze kuwa yule
mwanaume alimuingia kwa gia ya kutaka kumuoa. Akasema yeye kama
Mwislam,
hakuwa na kipingamizi. Amina alitoa sababu hizo shuleni, wakazikataa.
Akaenda shule ya private ya Makongo. Wakati tunamshauri, alikuwa
akifanya
kazi ya utangazaji pale Clouds FM. Ofisi yake ilikuwa ghorofa ya tano
ya
jengo la Kitega Uchumi na mimi ofisi yangu ilikuwa ghorofa ya sita. Kwa
hiyo tulikuwa karibu sana yeye na mwimbaji maarufu Lady Jaydee. Kipindi
hicho, alionekana kijana anayeimudu fani yake katika umri mdogo.
Absalom
Kibanda alimfanyia interview na kuchapishwa kwenye jarida la Wiki Hii
ambalo baadaye ndiyo liligeuka jina na kuitwa Mwananchi. Wakati huo
nilikuwa Mhariri Mtendaji.
Katika siku za hivi karibuni, watu wenye malengo mengi, wamekuwa
wakimtumia
Amina. Wakati wa vita ya biashara ya dawa za kulevya hakuwa peke yake.
Kuna
kundi kubwa la wafanyabiashara mashuhuri lilikuwa nyuma yake. Kwa
sababu
yeye ni jasiri, walimpatia orodha ndefu sana aipeleke kwenye mamlaka
zinazohusika. Siku moja Rais Kikwete alitueleza kuwa kama angeamua
kuishughulikia orodha hiyo, hakuna watu wangeshikana uchawi. Anasema
kwamba
baadaye, iligundulika kwamba majina mengi kwenye orodha hiyo, yaliwekwa
si
kwa sababu ni wafanyabiashara ya dawa za kulevya. Hakufafanua zaidi
lakini
wengi tulijua kwamba ni vita za kibishara zinazotembea katika nchi zote
zilizoamua kuukumbatia ubepari.
Kasi ya Amina ilinitisha, kama mhariri na kama rafiki yake. Nilimwita
tukazungumza naye. Akaniambia kwamba hiyo ndiyo njia aliyoamua kupandia
kisiasa. Niliamua kukubaliana naye lakini nikamwambia achukue
tahadhari.
Nilimwambia kwamba Morocco ni nchi ya kwanza kulima bangi duniani.
Shamba
kubwa la bangi mjini Rabat liko upande wa kulia wa njia inayokwenda
uwanja
wa ndege wa nchi hiyo. Bangi imepigwa marufuku nchini Morocco lakini
hakuna
kiongozi yeyote wa kisiasa anayekubali kuzungumzia shamba hilo la bangi
wakati wakienda uwanja wa ndege kuwachukua wageni wao au hata
wakisafiri.
Nilimuonya kama ni ajenda yake, aende nayo taratibu, kama siyo yake,
awaachie wenye nayo. Hakukubali wala kukanusha kwamba kuna watu
wanataka
kupandia mgongoni mwake.
Niliamua kuandika makala ya kuwaonya wale wanaomtumia (kwa sababu
nilikuwa
na habari zao kamili). Amina akapunguza kuwa public, akaamua kuifanya
kazi
hiyo kisayansi kwa kushirikiana na polisi chini kwa chini kama
alivyosema
Tibaigana.
Sasa likafuata hili suala la ndoa yake na wanasiasa walioingilia kati.
Hilo
jambo lilikuja kwa kasi sana . Yeye wakati huo alikuwa na ambition ya
kuwa
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM. Akaenda kumwomba mwenyekiti wa
sasa
amuunge mkono. Kwa bahati mbaya kwake Amina, Mwenyekiti huyo akakataa
kwa
kumwambia point blank kwamba hatamuunga mkono. Kwa bahati mbaya tena,
mwenyekiti huyo alikuwa rafiki mkubwa wa mume wake. Mume wake tayari
alikuwa akimhisi kufanya mapenzi na Zitto Kabwe. Amina akachanganya
mambo,
akadhani Mwenyekiti wa UVCCM, ndiye amemchongea kwa mume wake. Ikafuata
talaka. Amina akaahidi kwenda kwenye vyombo vya habari pale Maelezo
kuanika
yote. Yaani kutoa dukuduku lake. Kwa bahati mbaya, wakati vyombo vyote
vya
kitaifa na kimataifa vikimsubiri pale, baba yake ndiye akatokea. Kwa
hiyo
Amina akabaki na fundo lake. (wale walioko Tumaini chuoni wanaochukua
shahada ya Councelling au walimu wao wanaweza kutueleza hapa).
Kilichotokea
ni depression. kwa walimu wetu wa councelling nadhani watakubaliana
nami
kwamba depression can disrupt, disable, and kill.
In terms of human suffering, the consequences of untreated depression
are
beyond measure. They include loss of self-esteem, family and career
disruption, chronic disability and, in many cases, death. Suicide, is
the
outcome of depression. Kwa wale wanaojua siku za mwisho za Amina,
watakubaliana nami kwamba kilichomuua ni depression.
Wataalam wanatueleza kwamba depression inaweza kuua sawa na ugonjwa wa
moyo au magonjwa mengine. Kwa mfano Dr. Joseph Gallo, wa Chuo Kikuu cha
Pennsylvania katika jarida la kitabibu nchini Marekani linalojulikana
kama
Geriatric Psychiatry, anasema kuna uwezekano kwamba depression
inaingilia
mfumo wa moyo pamoja na kushambulia immunity system ya mwili. Hivi
ndivyo
anavyosema:
How depression increases death rates is not clear, said Dr. Joseph
Gallo.
Possibly depression makes people less likely to take care of
themselves,
or acts directly on the immune system in ways we do not completely
understand.
Kosa kubwa alilolifanya baba yake Amina, ni kumzuia kwenda kuzungumza
na
waandishi wa habari. Kwa yeyote anayejua mambo haya, atakubaliana nami
kwamba Amina alianza kufa siku aliyozuiliwa kukutana na waandishi wa
habari. Kwa sababu tangu siku hiyo, alianza kuwa recluse. Alianza
kukataa
kukutana na watu na tunaambiwa alifungiwa ndani, akaanza kujinyoa
nywele,
na wakati mwingine kuwasahau hata marafiki zake.
Kwa nini nasema sisi ni wanafiki? Nasema hivyo kwa sababu kulikuwa na
uwezekano wa kuokoa maisha yake. Jamii haijajiandaa kuwasaidia vijana
kutimiza malengo yao na kuvivuka vikwazo vya kimaisha. Amina amekuwa
akipambana na mambo mengi ya maisha. Najua hivi kwa sababu ingalau
najishughulisha na matatizo ya vijana. Wakati magazeti ya Shigongo
yamemwandama kumchafulia jina, jamii ilikaa kimya. Amina akawa analia
wakati akiwa chumba cha habari cha Clouds, watu wanasema shangingi
huyo.
Leo ni wale wale wanaomsifu na kumwagia sifa. Napenda kumaliza kwa
kusema
Amina hajafa. Waliokufa ni sisi tunaodhani tuko hai. Sisi wanafiki wa
kupeleka maua kwenye majeneza wakati tungeweza kutoa maua hayo
kukamilisha
azma yake ya masha. Aliyekufa ni mwenyekiti wa CCM na Katibu Mkuu wake
waliokataa kusuluhisha mgogoro wake wakidai ni wa kifamilia. Aliyekufa
ni
Spika wa Bunge aliyesema mambo ya Zitto na Amina hayalihusu bunge
lakini
sasa wanatoa ndege ya serikali kwenda kwenye mazishi. Aliyekufa ni
mtuhumiwa Zitto Kabwe ambaye pamoja na kuendelea kukataa hadharani,
alikuwa
akiendelea kuwasiliana naye kwenye simu. Aliyekufa ni Shigongo na
magazeti
yake ambayo hata baada ya kufariki, waliendelea kuandama maiti yake kwa
kutumia vyombo vyake vya habari. Amina hajafa na ndiyo sababu
amepumzika
siku ya kupiga vita dawa za kulevya; njia aliyoichagua kumjenga
kisiasa.
muhingo