Tujikumbushe Heka heka za uchaguzi

Tujikumbushe Heka heka za uchaguzi

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,557
Kwa mara ingine tena tumeingia kwenye msimu wenye vituko na matukio mengi ya kufurahisha na kustajabisha hebu tazama clip hii.
 
😂😂😂
Waziri mzima hovyo..😅

Sasa kaona anaenda kuzidiwa kwanini asiparangane hata kidogo..😅
Halafu sijui ni mfugaji maana kaenda kama alikuwa anataka kumpama msomaji..😜
 
Back
Top Bottom