Taborian
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 192
- 226
Katika jamii ya wanadamu, suala zima la mapenzi linatofautiana kati ya jamii moja na nyingine. Mapenzi(kwa maana ya ngono-sex, na mahusiano-romantic relationship) linaathiriwa sana na kiwango cha elimu, tamaduni, pamoja na imani za kidini. Mtazamo wa mmarekani juu ya sexual affairs-mathalan Openness- uko tofauti na muhindi kutokana na sbb hzo. Lakini kusudio la Mungu, na mwanadamu ni waishi na wayafurahie mahusiano yao. Binafsi i believe in strong relation so ninajifunza kila mara namna mbalimbali za jinsi gani ya kuwa na mahusiano hayo imara. Mara nyingi mwanaume ndio tunakuwa viranja wa mahusiano. Baadhi yetu tunakua na mfumo dume na kujisahau mambo kadhaa wa kadhaa ambayo yanaathiri sana mahusiano. Nitapenda kushare na kujadili nanyi mambo ma5 ambayo nadhani yanatukwamisha wanaume katika mahusiano.
1. HATUJIBIDIISHI KUWAFAHAMU WENZETU.
'my love ninahisi niko mjamzito' ni sms ambayo vidume tukiipokea-pasi kuitarajia-hubadilisha hali ya hewa. Tunakuwa waajabu sbb pregnancy mwanamke hainunui sokoni. Kwanini ninasema tunakuwa waajabu! Tunashiriki pamoja mapenzi lakini jukumu la tahadhari ni la mmoja. Ni mara ngapi tunajua wenzi wetu circles zao zikoje? Yapaswa as a man ujue full circle ya mmke wako ikoje. What if akikuta umemnunulia pads in advance? Huoni kama inaongeza intimacy? Vipi kama ukijua kuwa yuko kwenye danger days wakati wa tendo huoni kama ni easy nawe kutake care-maana at times mmke anaweza pitiwa kutokana na hali halisi ya 'pambano'. Hvyo ni vyema for us men kujitahd kuwafaham vyema wenzetu biologically hii inasadia kupunguza hata mikwaruzano maana wenzetu wakiwa on days hata mood huwa inachange.
2. HATUTHAMINI NAFASI ZA WENZETU KIMAAMUZI.
Hii ni challenge kwetu, nadhani inatokana na mfumo dume. Wanaume wengi hatukubali au hatutambui kuwa unapokuwa na mahusiano, suala la maamuzi binafsi linakufa. Kila jambo-linalowagusa wote- ni lazima yafanyike maamuzi ya pamoja. Kuna jamaa yangu Mr Y alimuomba gari jamaa yake Mr X kwa dhumuni la safari, sasa Mr X akamjibu ngoja amconsult mmke wake. Mr Y akamaindi sana, na kashfa juu kuwa ametekwa na mmke. Kwenye mahusiano hakuna kitu kutekwa bali ni kanuni kuwa in a committed relation u always halves your rights and doubles your duties.