Iselamagazi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 6,083 Reaction score 6,241 Jul 24, 2013 #2 We acha tu, hakuna binadamu anayependa mauti. Akitokea babu mwingine kwa style nyingine, nina amini binadamu watamfuata kule aliko kwa gharama yoyote ile. Binadamu tu wepesi sana wa kusahau.
We acha tu, hakuna binadamu anayependa mauti. Akitokea babu mwingine kwa style nyingine, nina amini binadamu watamfuata kule aliko kwa gharama yoyote ile. Binadamu tu wepesi sana wa kusahau.