Tujikumbushe: Dr Kamala aitetea PhD yake!

Kumbe Permanennt Head demage (PhD) ni deal eeh?

Huyo Nchimbi alianza kujiita Dr, hata kabla Mzumbe ahwajampa hiyo Doctorate?
Kumbe siku hizi Mzumbe wanagawa PhD?

Hii ni kuonyesha kuwa Dr. John Pombe Magufuli ni kichwa: No one question his doctorate degree.

umeachwa mbali sana na huu mjadala (umedandia gari mbele)
 
Katiba mpya itasaidia kumaliza hili tatizo la wasomi feki.
 
mtoa mada keshasema tujikumbushe
that means ishapitwa na wakati ndio lakini kaitoa wakati muafaka kuwa tuna mawaziri na mabalozi vihiyo kwani uwongo?
Hivo vyuo havifahamiki tena wanapaswa kujiuzulu kwa kudanganya elimu zao Waziri wa ulinzi wa german alijiuzulu sisi kwanini tulindane kwa uwongo wa elimu? Tungekuwa na rais mkweli anejali ukweli hakika hawa vihiyo,vilukuli na vikamala wote angewatimua kwa kulitia aibu taifa, cha ajabu ndio kwanza anawatuma kuliwakilisha taifa..Hii skendo lazima iwe published ktk magazeti ya Belgium wacha aende huko kwanza unless akiri mbele ya umma kuwa alidangananya. Nchimbi nae atuambie kama ana phd mbili kwa sasa na thesis zake zikuwa zinahusu nini.
bahati nzuri wazungu hawafichi ukweli wanakuanika wazi.
 
How? Hili nalo linatakiwa kuingizwa kwenye katiba?

Rais ata-nominate cabinet ministers then senate/bunge ndio lita-approve ama block the nomination.
Kenya wameshaanza utaratibu huu. Sisi tunashindwa nini? Hapo itawapa congressmen/wabunge nafasi ya kupitia resume za nominees na kujua kama ni vihiyo ama la. Itazuia kuteua vilaza kwenda kuianika na kuitia Tanzania aibu ya kuwakilishwa kwenye EU Headquarters kule Brussels na phony politicians, kama huyo balozi wetu mpya kule Belgium
 
Rais atateuwa cabinet ministers then senate/bunge ndio lita-approve ama block the nomination. Kenya wameshaanza utaratibu huu. Hapo itawapa congressmen/wabunge nafasi ya kupitia resume za nominees na kujua kama ni vihiyo ama la

Sasa kama kuna wabunge wenye "degree" za Commonwealth Open University unafikiri watam-treat vipi waziri mteule mwenye degree kutoka chuo hicho hicho? Badala ya kuwa appointed na Rais, kwa nini wasitume maombi halafu waitwe kwenye interview na kuwa screened?
 
Wabunge wa opposition si wapo mkuu. Hao wanatosha kublock any bogus nominations ili kuipunguzia aibu Tanzania kwa kumfunga gavana rais wa nchi kuteua vilaza
 
Wanahesabika wale. Walishindwa kuzuia ule mswada wa katiba mpya usipite ndio wataweza kwenye uteuzi wa mawaziri wenye degree feki?
 
iwekwe sheria ya fillibuster!
 
It wouldn't have made a fuggin difference hata kama ange-graduate "Summa Cum Laude" kwenye chuo chenye jina makubwa kama Harvard, Princeton au Oxford University. Bora kibuda kama huyu anaye-cheat waziwazi na kila mtu anajua kuliko yule unayemwabudu na kumwamini eti sababu kaenda Harvard.
 
Hakuna cha heri hapa. Halafu argument kama hizi zimezagaa sana kwa Watanzania. Eti kwa vile huyu kafanya kosa, basi linajustify kosa alilofanya mtu mwingine. hata siku moja wrong plus wrong never make it right. Ukiua kwa shoka, na mimi nikiua kwa kokoto, wote tumeua regardless of the means used.

Why go to a "university" that is not recognized even by TCU?
Why go to a "university" that no Western accredited university will recognize?
Why go to a "university" that no employer will accept (save may be the Government of Tanzania?)
Why go to a "university" that is listed on consumerfraudreporting.org?
Why go to a "university" that no first world country in the world will recognize?
Why go to a commonwealth open "university"?
 
Tafakari verse ifuatayo ya "The End" by Ras Kass

"The end justifies the means
The end is power
Power corrupts -- absolute power corrupts absolutely"

That being said, aliyesoma "Commonwealth Open University" au "Harvard University", malengo yao yote ni sawa. Kama huamini, jiulize kwa nini Tanzania imejaa wanasiasa wenye titles za "Madaktari" na "Uprofesa"?
 
Usilinganishe elimu inayotolewa Havard na hiyo Commonwealth Open University please.....manake ni sawa sawa na kufananisha Mercedes Benz v/s Nyumbu. Wahitimu wa taasisi hizo mbili watakuwa na uwezo tofauti kielimu na hata kibusara.
Hata UDSM is way better than this degree mill (Commonwealth Open University)
 
Looks like you missed my point altogether. Hakuna anayejaribu kulinganisha elimu ya Harvard na ile ya "Commonwealth Open University". But like I said, at end of the day, "the end justifies the means". Go figure, dude.
 
whatever, dude!
 
Wanahesabika wale. Walishindwa kuzuia ule mswada wa katiba mpya usipite ndio wataweza kwenye uteuzi wa mawaziri wenye degree feki?

Just like anyone else, those politicians have to keep my trust on a case-by-case basis.

I'm very good at spotting propaganda and dishonest tactics, so I'd say the uneducated would be less likely to use that type of thing and be more trustworthy, even if no less wrong
 
I'd put it this way: better the devil you know because they went to "Commonwealth Open University", than the devil you worship and trust because they went to "Harvard University".
 
Tafakari verse ifuatayo ya "The End" by Ras Kass

"The end justifies the means
The end is power
Power corrupts -- absolute power corrupts absolutely"

That being said, aliyesoma "Commonwealth Open University" au "Harvard University", malengo yao yote ni sawa. Kama huamini, jiulize kwa nini Tanzania imejaa wanasiasa wenye titles za "Madaktari" na "Uprofesa"?

You are just trying to justify this degree mill? The "degrees" are useless. Anyone with half a brain will do a little research and find that out for themselves. That "unverisity" takes advantage of people's laziness; those individuals that are trying to get a "quick and easy degree". The "university" have also fabricated reviews on the internet to scam people. Yet, you persist in trying to defend this "university"?

BTW hao politicians wenye titles za madaktari na uprofesa ni wangapi wamezipata Harvard?

And the quotation you provided it is actually a misquotation attributed to someone who did not actually say it in that form of words. Actual quotation: "Power tends to corrupt, and absolute power corrupts absolutely".
 
Back
Top Bottom