Tujikumbushe burudani anazopenda JPM

Tujikumbushe burudani anazopenda JPM

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,013
Rais wetu ni binadamu kama wengine na yeye akipumzika pia hupenda burudani kupunguza frustrations
Tupia zile burudani anazopenda kutoa hizi mbili maarufu tulizotangaziwa rasmi ili watanzania tujue amiri jeshi wetu mkuu anazipenda
(1)Kipindi cha shilawadu ambacho huzungumzia mambo ya umbeya,mafumanizi ya gesti na hata vibamia vya wanaume au wanaodaiwa bill za bar
(2)Nyimbo ya mwanafa na vanesa mdee(dume suruali) ikiwa na maneno ya kujibishana kati ya mwanamama na ji dume,jidume likikataa kuchunwa na kumuuliza mwanamama ,HE kwani ina tv ndani?
 
Mimi sijui anapenda burudani gani ila sisi wananchi alituambia tufyatuane sana ili tufyatue watoto wengi na alituambia wanaume tuwe na wanawake wengi, Labda ndiyo mambo anayopenda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom