Tujikumbushe burudani anazopenda JPM

Tujikumbushe burudani anazopenda JPM

Haitugharimu chochote kuwaheshimu viongozi wetu.
Hujachelewa,anza sasa hivi kuwapa heshima.
baba yako akitembea na house girl nakumuacha mama yko !!? utamuheshimu !?!
kuna gharama kubwa mnooo inayo sababishwa na mgogoro wa nafsi pindi mtu mzima asiye jiheshimu anapotaka kupewa heshima toka kuwa. watu wanao mzunguka
 
kuwauwa watu kuwafunga kwenye viroba na kuwatupa coco beach ...

kutengeneza chuki baina ya raia na raia wa taifa lake ...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom