Huu ugonjwa hauwezi kuingia bongo.., thanks to shirika la ndege lililokufa la nchi yetu. ila Kenya wanalo na Kenya Airways yao..Ndugu zangu naungana na watanzania wenzangu kuwapa taarifa ya tahadhari juu ya gonjwa hili kwani hatari na linasambaa kwa kasi ya ajabu.barani africa...dalili zake wakuu tu titirike ili tuanze kuchukua tahadhari naona wakuu wa nchi wamejisahau sana
Congo huwa wanauguaga watu wa maporini tu.., na hauingii mjini coza hakuna miji kule congo.., so watu wanafia wote maporini na wala hakuna takwimu za kuwatambua.., basi ugonjwa unaishiaga huko huko maporini and no body cares..!!!mbona congo ua wanajitahidi kuucontrol hawa wa africa magharibu ku nani.?
Symptoms usually begin abruptly. Symptoms include
>fever
>headache,
>joint and muscle aches,
>weakness
>diarrhea,
>vomiting,
>stomach pain,
>lack of appetite
>abnormal bleeding.
Congo huwa wanauguaga watu wa maporini tu.., na hauingii mjini coza hakuna miji kule congo.., so watu wanafia wote maporini na wala hakuna takwimu za kuwatambua.., basi ugonjwa unaishiaga huko huko maporini and no body cares..!!!
Watanzania hii ndo shida yetu kubwa, hii topic ni nzuri pengine kuliko zote hapa kulingana na wakati tuliopo lakini wachangiaji wako busy kwenye topic za Mapenzi
Tuombe Mungu atuepushie maana huu ugonjwa ukiingia Tanzania balaa tupu yan serikali haipo makini ktk vitu muhimu kama hivi,wanachojua wao mambo ya kufikirika kama homa ya dengue
Tuombe Mungu atuepushie maana huu ugonjwa ukiingia Tanzania balaa tupu yan serikali haipo makini ktk vitu muhimu kama hivi,wanachojua wao mambo ya kufikirika kama homa ya dengue