Tujihadhari na ugonjwa wa ebola

Tujihadhari na ugonjwa wa ebola

Symptoms usually begin abruptly. Symptoms include
>fever
>headache,
>joint and muscle aches,
>weakness
>diarrhea,
>vomiting,
>stomach pain,
>lack of appetite
>abnormal bleeding.
Ahsante mkuu ...
Je watu wa uhamiaji wamepewa elimuu hii....au wanafanya kazi kama misukulle ya congo
 
mbona congo ua wanajitahidi kuucontrol hawa wa africa magharibu ku nani.?

Mkuu sababu kuu huenda hawakujipanga kuwa ni UGOONJWA HATARI NDIO MAANA UNAWAUUA SANA naogopa usingie...aibuuu
 
Ahsante mkuu ...
Je watu wa uhamiaji wamepewa elimuu hii....au wanafanya kazi kama misukulle ya congo

Misukule imeiona ya kongo tu!!!!!!!!! na huko kwenu?????????????
Mxxxxxxxxxxxxu
 
Sasa wewe unafanya nini Tanzania kwa nini usiamie congo mada inausu tz congo imetoka wapi hapo tumia akili acha kufikiri kwa makalio.

Bora ww umesema,,,,, watz ni mashuhuri kwa kufatilia ya wenzao lkn ya nchini mwao yamewashinda kitambo
 
Kwenu unapajua ww na kujifunza anza na ya kwenu
Tatizo watu kama ninyi tungewapeleka congo kipindi cha ebola maana kwa kusikia tu bado hamuamini ...ebola ni gonjwa hatari sana.....tatizo bongo misukule mingii
 
Nafikiri serikali inapaswa kuwa makini haswa maana hakuna maandalizi yoyote yanayofanywa,mimi ni muuguzi na naona jinsi huu ugonjwa ukiingia utakavyotumaliza! Sana sana watu wa afya maana zaidi ya kusoma kwenye mitandao na kuona wenzetu wanavyovaa kujikinga huku sijaona hizo protective gear! Nafanya kazi moja ya refferal hospital tunaogopa kwa kweli!
Ndugu zangu naungana na watanzania wenzangu kuwapa taarifa ya tahadhari juu ya gonjwa hili kwani hatari na linasambaa kwa kasi ya ajabu.barani africa...dalili zake wakuu tu titirike ili tuanze kuchukua tahadhari naona wakuu wa nchi wamejisahau sana
 
Nafikiri serikali inapaswa kuwa makini haswa maana hakuna maandalizi yoyote yanayofanywa,mimi ni muuguzi na naona jinsi huu ugonjwa ukiingia utakavyotumaliza! Sana sana watu wa afya maana zaidi ya kusoma kwenye mitandao na kuona wenzetu wanavyovaa kujikinga huku sijaona hizo protective gear! Nafanya kazi moja ya refferal hospital tunaogopa kwa kweli!
Tatizo viongozi wetu siasa nyingi sana ..tukiangalia kwa haraka haraka mipaka yetu sidhani kama imewekewa tahadhari yoyote
 
Tatizo watu kama ninyi tungewapeleka congo kipindi cha ebola maana kwa kusikia tu bado hamuamini ...ebola ni gonjwa hatari sana.....tatizo bongo misukule mingii

Ok!!!!!! tumejua na ww uliwahi kufika congo........

eleko eza te zero mobali!!!!!!
 
Juzi hapa tukaambiwa dengu sasa hili la ebola ndio wasiwawi kweli kweli! Ee Mola tukinge waja wako na maradhi haya.
 
Sidhani kama kun tahadhari yoyote,nafikiri wapo wanaoruhusiwa kuingia nchini kutoka katika nchi zilizoathirika!Mpaka tujue mgonjwa ana ebola atakua ameshaambukiza wagonjwa wote wanaomzunguka na relatives wao,na ikumbukwe ndugu wa wagonjwa wapo mobile!watoa huduma nao ni kasheshe maana mavifaa yetu tunayotumia hayana ubora wowote!Tuombe tu Mungu atuepushie hili janga
 
Back
Top Bottom