leo nimeona niwashirikishe wale ambao wanaanza kujifunza photoshop na hata wazoefu..
View attachment 63423
tutengeneze kadi ya benki mfano wa tembocard,
vifaa vinavyohitajika
1. photoshop CS+
2. picha (google images)
3. uzoefu kidogo
Utaalam
beginners+
tuanze:
kwanza tunahitaji picha ambayo tutatumia kama background
mimi nimeandika TEMBO kwenye google kisha nikachagua iliyonivutia
http://images5.fanpop.com/image/photos/28700000/Elephant-elephants-28788754-1024-768.jpg
pia unaweza kuandika Visa electronic na SimCard kupata logo ya visa na hicho kijitu cha sim card
http://forroxiquexique.files.wordpress.com/2012/07/visa_electron.gif
fungua photoshop File>new au ctrl+n kisha weka 1300px width na 822px
weka background yako
View attachment 63418
step inayofuata weka kidude cha simcard na hologram na visa kama nilivyoonesha
View attachment 63420
step inayofuata ni kuweka maneno, angalizia hapo kwenye screenshot chini
View attachment 63422
hakikisha kadi yako haina ncha pembeni, unaweza kutumia njia tofauti tofauti kutoa izo ncha...
inatakiwa mwisho itokee kama hivi
View attachment 63425
miandiko niliyotumia:
Tembocard logo: Arial Bold Italic
akaunti number: Halter
sehemu zilizo baki nimetumia Arial
ahsanteni
View attachment 63424