Unajua Tuna deni Mwendo kasi! Tumejaribu kufanya wenyewe, patupu. Na tulifikiri kuwa m/kasi ni muarubaini wa usafiri Dar. Kivuko Kigamboni nako tumejaribu wenyewe- Ziiiii. Vyama vya ushirika n.k.
Sema nikubaliane nawe kuwa tuwape wazawa kwa sherti tu kuwa kuwe na Time limit, kama hakuna matunda tunayoyatarajia tuwatose kwa pamoja nyie na sisi tunaoamini tofauti. Kwetu miaka 60 ya kuwahurumia wazawa inatosha!!!!!!!!