Mwaka 2009 Abdallah Khamis(mchezaji mpya wa simba) alimaliza kidato cha nne na mdogo wangu Nkende Sec kule Tarime mjini.
Kipindi hicho alikuwa anacheza ligi ya wilaya na mkoa kupitia timu ya Tarime utd enzi hizo ya moto ikifadhiriwa na mgodi ikiwa na akina Babu Matacha/Idd na wakiwa wanamkodi Chambiri kutoka Son sugar ya Kenya huyuhuyu aliyekuwa kocha msaidizi Biashara
Tupige hesabu now ni 2023 wamedai ana miaka 24
Tutoe 2023-2009 aliyomaliza kidato cha nne inabaki 14
So alimaliza kidato cha nne akiwa na 14
Tutoe minne ya secondary inabaki 10
Tutoe 7 ya shule ya msingi inabaki 3

inachekesha kuacha mkude mwenye 30 ambaye tangu anakua mnamuona so mko sure na miaka yake na kumchukua mtu ambaye hammjui kisa mmedanganywa umri
Yule dogo umri wake ni 32/33 au 34
Em tusiwe tunadanganya umri kwenye mpira ndo yale yale ya Okwi nimeanza msikia niko Sec mpk leo mimi nina zaid ya 35 ila ye hajafika 30

Kipindi hicho alikuwa anacheza ligi ya wilaya na mkoa kupitia timu ya Tarime utd enzi hizo ya moto ikifadhiriwa na mgodi ikiwa na akina Babu Matacha/Idd na wakiwa wanamkodi Chambiri kutoka Son sugar ya Kenya huyuhuyu aliyekuwa kocha msaidizi Biashara
Tupige hesabu now ni 2023 wamedai ana miaka 24
Tutoe 2023-2009 aliyomaliza kidato cha nne inabaki 14
So alimaliza kidato cha nne akiwa na 14
Tutoe minne ya secondary inabaki 10
Tutoe 7 ya shule ya msingi inabaki 3

inachekesha kuacha mkude mwenye 30 ambaye tangu anakua mnamuona so mko sure na miaka yake na kumchukua mtu ambaye hammjui kisa mmedanganywa umriYule dogo umri wake ni 32/33 au 34
Em tusiwe tunadanganya umri kwenye mpira ndo yale yale ya Okwi nimeanza msikia niko Sec mpk leo mimi nina zaid ya 35 ila ye hajafika 30