hapo zamani moyo na ndevu walikuwa marafiki wakubwa, ikatokea cku moja ugomvi mkubwa baina yao, Moyo akampa kichapo ndevu na kukimbia; lahaulaaaa moyo akamkuta binadam anapiga mihayo akazama mdomoni mwa binadam na kujificha,
hadithi itaendelea moyo akitoka nje!!
hadith hadithi.....??? thema (hadithi utam koleaaaaaaaaaaaaaaaaa)
hapo dhaman dha kale alitokea baba mmoja na mama mmbili na mtoto mtatu........
mbona hamnithikilidhi thatha bathi me naacha....aaarrrrrrghh
Hiki ni kipindi cha mapishi, leo tunajifunza kupika nyama ya kuku, kwanza unamkimbiza kuku kwa ajili ya kumchinja ila samahani naona haitawezekana kuendelea kuku kaingia barabarani na ni hatari unaweza gongwa na gari