Mdau.. Ukijaribu kungalia utakuja kukuta kuna mahusino kati Ya Culture. Na maendeleo Ya ichi.. hebu jaribu kucheck historia Ya Korea.. miaka Kama thousand hiliyopita... hawa jamaa..tiari walikuwa wameshapiga hatua katika mambo flan..mfano..Architecture.. language.. check had wana stair Ya font zao.. Tanzania Ya 50s unayotaka kuifananisha ndo Kama vile tuikuwa tumetoka Gizani.. hawa jamaa kupiga bao Ichi za kiafrika kimandeleo ni kitu cha kawaida kabisa..kwa iyo Tz ndo Kama tumehamka vile...tujipe mda Kama one century iv..hafu tuone itakuwaje