NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Nchi za Afrika hususani Tanzania inabidi tujifunze kutoka kwa South Korea. Kwa nini nimechukulia South Korea, miaka 50 iliyopita tulikua katika level sawa ya uchumu, South Korea ilikua kwneye list ya nchi maskini duniani lakini leo hii ipo G20 na ni nchi ya 11 kwa uchumi mkubwa, angalia picha za mji wao mkuu Seoul za 1960 alafu linganisha na za leo, kuna utofauti mkubwa sana hadi aibu.
Hawa watu wali-invest sana kwenye technology na elimu kuliko kitu kingine, walijenga vyuo vikubwa vya technology ambavyo hadi leo vipo kwenye list ya vyuo bora duniani, hakuna bidhaa wasizoweza tengeneza wenyewe nyumbani, huko ndipo kampuni kama Samsung,LG, Hyundai, KIA zinatokea. Leo hii kuna walimu wanaingiza hadi Tshs. Bilioni 4 kwa mwaka kufundisha tu, inaonyesha jinsi gani watu wako serious kwenye kusoma.
Tanzania tunamuachia kazi yote Rais lakini huku chini kuanzia kwa wanafunzi wetu kumeoza sana, wanafunzi wavivu, wazazi wavivu, watu wasio na uwezo hata wa kuandika pia hawahesabiki, watoto wa whatsapp na facebook 24/7 nao wamejaa na hawapendi kusoma. Bado tuna kazi kubwa sana. Hatuwezi kukaa tukasema tufungue kiwanda cha kutengeneza magari alafu ukitafuta watu wenye ujuzi huo ni wa kuhesabu, pesa lazima imwagike nje, ukweli hadi sasa hivi we still can't stand alone.