Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,047
- 25,797
- Thread starter
-
- #161
Mr. KalamuNataka nijibu swali lako kitulivu kabisa, na kama kweli unayo nia ya kuelewa jibu hutajifanya hujui jibu.
Ni hivi: Unaamini au huamini kuwa Samia Suluhu Hassan anajuwa kuwa huo mfumo upo, au hajui?
Kama Samia anajuwa mfumo huo upo, amefanya juhudi zipi za kuurekebisha/kuuondoa ili Tanzania anayoiongoza iwe nchi ya utulivu; na yeye atawale kwa AMANI kabisa? Umemweleza nini huyo Samia kuhusu hili, mkuu Ertugrul? Kwani nawe hutaki Samia atawale nchi hii wakati wananchi wake wote wakiwa na maelewano mazuri, bila ya kugawanyika kimakundi kama kulivyo sasa hivi?
Hivi kweli hujui "maandamano ya fujo na vurugu" yanasababishwa na nani, hujui kweli au unajifanya tu kutojuwa?
Fujo na vurugu vinasababishwa na ukandamizaji; unyimwaji wa haki; bila ya hivyo usingeona fujo na vurugu. WaTanzania ni watu wapole sana; tena wapenda AMANI. Ni nyinyi, mnaopigania huo mfumo na huyo Samia na Kikwete ndio mnaosababisha yote haya.
Kuhusu kuuondoa mfumo kwa njia za fujo na vurugu; hilo hata wewe huna jibu; nijuavyo mimi, bila Samia Suluhu Hassan kuondokana na dhana ya kudhani anaweza kutawala taifa hili kwa nguvu za mitutu ya bunduki; hili hata yeye anacheza kamali tu!
Kwa bahati mbaya sana huu mchezo wake umesababisha waTanzania kupoteza maisha; na inawezekana bado wengine wataendelea kupoteza maisha; na kupoteza muda wa kuliendeleza taifa hili. Lakini na yeye, pamoja na Genge lake lote, hawatatoka salama
Wewe na hawa BAKWATA, si nyote mnahimiza "majadiliano" na "AMANI"" isiyotokana na HAKI, sasa unakataa vipi kuhusishwa na watu unaokubaliana nao mtazamo?Napata sana ukakasi pale unapo ninasibisha na Bakwata na maelekezo ya dini
Nakosa uhalali wa kujadiliana na wewe
Tukuatane kwenye topic nyingine
Asante
Hapa wanaharakati wanafadhiliwa kuleta machafuko hapa nchini kwetu
Je unasemaje hapo?
hivi kwa nini hutaki kuelewa "fujo na vurugu" zinasababishwa na nani.Haya ya kutumia fujo na vurugu kudai haki ambayo mnaitaka sio njia sahihi kwa sasa,madhara yameonekana tayar tena makubwa
sikukiri chochote, ni mambo ambayo Samia na Genge lake mmeamua kuwafanyia waTanzania. Mtawaua hadi hapo watakapokubali matakwa yenu ya kuwatawala kwa nguvu; hili ndilo limetokea Oktoba 29; na litatokea tu kama mtaendelea kuwa na kiburi hicho cha kuwadharau waTanzaniaNa umekiri tena kwamba huenda kukawa na uwezekano wa watu tena kufa kwa kutimia njia hizo hizo
Huu ndio upuuzi nisiokuwa na simile nao kabisa, lugha hiyo hiyo anayotumia Samia, na bado hata huoni aibu kuendelea nayo wakati ukitaka kujibainisha kuwa wewe ni tofauti.Je, bado mnataka kuwatumia vijana wasiojielewa na kufuata kila mnacho waambia kuandamana kwa fujo na vurugu ili mfikie lengo lenu hata kama watapoteza uhai wao?
Kwa mada zako za sasa, na maandishi mengine uliyoweka humu JF wewe mkuu "ertugrul' huwezi kamwe kujiweka pembeni na uongozi huu unaotaka kujiweka mbali nao hapa.Hapo mnakuwa na tofauti gani na Uongozi wa sasa?
Akikujibu nitagNyie bana huwa mnalishana propaganda za kijinga kisha mnaziamini wenyewe, na sababu huwa mnajadiliana wenye mtazamo mmoja, bila kujua na sisi tuna akili. Ni raslimali zipi ambazo wazungu hawajazifikia hadi sasa hapa nchini, ambazo ndio mnaamini bado wanazitaka?
Mega projects zote wanapewa hao hao, mikopo mikubwa wao ndio wanatukopesha. Labda utaje raslimali wangalau 2 ambazo hazijafikiwa na wazungu, kisha utuonyeshe kuwa hizo ndio wazungu wanazikosa. Kisha mimi nitakuambia sababu zaidi ya tatu halisi zilizoleta machafuko hapa nchini, na hakuna hata moja yenye msukumo wa mzungu.
Mtu anaonekana mbaya ama mzuri kwa wingi wa aina ya matendo yao.. akiwa na mazuri mengii mabaya machache huyu atakuwa mwema mbele ya macho ya way, akiwa na mabaya mengi mazuri ya kuokoteza atakuwa mbaya.Huu ndio ujinga ambao tunataka kuutoa kwenye vichwa vyenu
Tayar mmeshafikia tamati kwamba Jenista kauliwa na mfumo,unaweza kudhibitisha hizo taarifa
Mbona vijana mnakuwa wapuuzi hivi
Msiwe wachoyo wa fadhila kwahiyo unataka kusema hakuna maendeleo yaliyofanyika hapa Tanzania?
Au usingelipa bill za umeme na maji ndio ungeona kweli unafaidika na rasilimali za nchi hii
Acheni hizo mambo bwa
Inategemea unafanya harakati gani kwa malengo yapi
Umekwepa swali kiaina ndugu yangu "Kalamu"Kwa mada zako za sasa, na maandishi mengine uliyoweka humu JF wewe mkuu "ertugrul' huwezi kamwe kujiweka pembeni na uongozi huu unaotaka kujiweka mbali nao hapa.
Nashangaa hata hili hulionei haya kuliweka hivi hapa.
Nakubaliana na wewe ni kweli maendeleo ambayo yapo sasa hayastahili,tungetakiwa tuwe zaidi ya hapoMtu anaonekana mbaya ama mzuri kwa wingi wa aina ya matendo yao.. akiwa na mazuri mengii mabaya machache huyu atakuwa mwema mbele ya macho ya way, akiwa na mabaya mengi mazuri ya kuokoteza atakuwa mbaya.
Kwanini mungu ataweka mizani ya kupima mabaya na mazuri ya mtu?
Haya yetu huwezi kujipiga kifua ukajisifia kuwa tuna maendeleo.
Chora graph ya maendeleo vs maliasili zetu
Maendeleo vs muda toka tupate uhuru.
Ndio utagundua haya kwetu sio maendeleo tumesogea padogo mnooo, hatustahiki haya.
Kama maliasili zetu zinatuthaninisha tuslipie kuna ubaya gani.
Sijakataa kuna vimaendeleo, lakini haya hapa tulipo hatustahiki sisi watanzania.. mwaka wa 60 toka uhuru tuna gesi na matakataka kibao, ika kuna shule za udongo, watoto wanakaa chini darasa moja wanafunzi 100, madawa kipengele, maji safi na salama shida.. mwaka wa 60+
Kwa lugha yoyote ambayo tunaweza kutumia,iwe vijana wasio jielewa,wenye hasira kali,wakurupukaji,haiondoi ukweli kwamba walijazwa upepo na watu ambao hawapo front kwenye maandamanoHuu ndio upuuzi nisiokuwa na simile nao kabisa, lugha hiyo hiyo anayotumia Samia, na bado hata huoni aibu kuendelea nayo wakati ukitaka kujibainisha kuwa wewe ni tofauti.
Hawa "vijana wasiojielewa" mmewatoa wapi nyinyi. Hii ni lugha ya wapi hii?
Au hukumbuki pia kuwa Samia alitangaza hao vijana aliowaua walikuwa ni kutoka nje ya nchi, hukusikia akisema hivyo?
Mara, hao "vijana wasiojielewa" wamelipwa pesa ili wakafanye vurugu!
Ni nyinyi tu mnaojuwa ni kipi wanachotaka waTanzania; wengine wote ni wafanya vurugu na fujo? Sasa watu wa namna hii mnataka kuwatawala wa nini; huoni kuwa hamtaweza kuwaua wote na wataendelea kukataa huo upuuzi wenu?
Mr. Kalamuhivi kwa nini hutaki kuelewa "fujo na vurugu" zinasababishwa na nani.
Kwa nini hutaki kabisa kukubali kutazama hizo vurugu na fujo chanzo chake ni nini?
WaTanzania hawakuamua tu kufanya hizo unazoziita wewe vujo na vurugu; hawa ni watu wapole; wapenda amani miaka yote. Ni nani anayewaroga mara hii wawe watu wa vurugu na fujo bila ya sababu?
Watu tulioshikam
sikukiri chochote, ni mambo ambayo Samia na Genge lake mmeamua kuwafanyia waTanzania. Mtawaua hadi hapo watakapokubali matakwa yenu ya kuwatawala kwa nguvu; hili ndilo limetokea Oktoba 29; na litatokea tu kama mtaendelea kuwa na kiburi hicho cha kuwadharau waTanzania
ana miaka yote kama taifa kwa umoja wetu; ni nini tofauti kilichotokea wakati huu?
Kwa kuwa Samia ni mwanamke na muislam,siyo; nawe unakubali upuuzi huo?
Basi kama unakubali hivyo, ukubali viongozi tulionao ndio hawajatufik8sha huko, nchi imejaa ufisadi, cha kunufaisha nchi nzima kinanufaisha wachache..Nakubaliana na wewe ni kweli maendeleo ambayo yapo sasa hayastahili,tungetakiwa tuwe zaidi ya hapo
Ni sahihi,kiongozi mmoja ambaye walau alionyesha dira ya kutuvusha toka sehemu moja kwenda nyingine ni JiweBasi kama unakubali hivyo, ukubali viongozi tulionao ndio hawajatufik8sha huko, nchi imejaa ufisadi, cha kunufaisha nchi nzima kinanufaisha wachache..
Uzalendo umekwisha kabisa..
Sehemu ya serikali kupata bilioni 600, mtu yuko radhi apokee bilioni 100 yeye kisha serikali ipate bilioni 50.
Nchi hii ingekuwa mbali sana kama viongozi wangetanguliza taifa mbele.
Yes, ye ni atleast, japo kuna namna alikuwa anazingua ila ana uafadhali afadhali kidogo, kuliko huyu..Ni sahihi,kiongozi mmoja ambaye walau alionyesha dira ya kutuvusha toka sehemu moja kwenda nyingine ni Jiwe
Nyie mnaandika Ila hamuingii Field kupambana .
Mnafikiri CCM itatoka madarakani kwa maneno matupu ?
Sikia acheni hizi mambo za kuamini kuna MTU atakupambania .
Mnataka vijana warudi barabarani wauliwe tena au Mnataka nini
Nyie watoto wenu mnawalinda Ila mnataka watoto wengine wakaandamane .
Big NO tuta -push agenda hakuna maandamano nyie key body ni watu selfish
Kuitoa ccm mpaka utokee mpasuko mkubwa ndani ya ccm, ambayo utaadhiri hadi majeshi ya dola. Inatakiwa wanasiasa wa upinzani watumie hiyo njia ya kisayansi, sio ukweli au maandamano, make haki hakuna zaidi ya kuishia kufa tu.Nyie mnaandika Ila hamuingii Field kupambana .
Mnafikiri CCM itatoka madarakani kwa maneno matupu ?
Sikia acheni hizi mambo za kuamini kuna MTU atakupambania .
Mnataka vijana warudi barabarani wauliwe tena au Mnataka nini
Nyie watoto wenu mnawalinda Ila mnataka watoto wengine wakaandamane .
Big NO tuta -push agenda hakuna maandamano nyie key body ni watu selfish
Kama unataka kujuwa, jibu langu ni rahisi sana.Mr. Kalamu
Mbona unapenda sana kujificha kwenye hoja uislamu
Umetoa maelezo mazuri sana lkn chini umekuja kuharibu
Uislamu ni shida sana kwako? Tuzungumzie hoja na si dini ya mtu,inakufanya ukose uhalali hata wa hoja unayoileta hapa