Tujifunze kutengeneza drone(Quadcopter)

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,827
4,757
Drone hizi ni aina vifaa ama ndege ambazo zinaweza kupaa pasipo kutumia rubani ila inatumia wireless control (radio transmission). moja ya aina za drone ni Quadcopter, hii ni aina ya drone ambayo ambayo inapaa kwa kumia mult rotors na propellers(zile vifeni vinavyozunguka ) ambazo zipo nne.
upload_2016-2-8_14-25-31.png


mahitaji ili uweze kutengeneza aina hii ya drone.
  • Four-rotor system with fixed-pitch blades
  • Propeller P8X32A microcontroller flight control board
  • Pre-programmed with flight-control software
  • Custom plates protect motors and electronics
  • Designed to easily attach a camera mount
mahitaji ya ziada
  • RC radio controller and receiver, 5-channel minimum for flight
  • LiPo Battery, 3000 to 4400 mAh 3-cell 30 C discharge rate
  • LiPo Battery Charger
zifuatazo ni tutorials za video za utengenezaji wa hii drone



2.


3.


4.


5.


changamoto kwa hapa bongo ni upatikanaji wa vifaaa kukamilisha hii project.
 
Tatizo uwa ni upatikanaji wa vifaa vyote kwenye io list, ka huna uwezo wa ku improvise utajikuta una order kila kitu kutoka nje, na hapo ndipo inapoghalimu!
 
Sawa mkuu tutajifunza halafu baada ya kuzitengeneza tunafanyia nini ???
 
As i know project kama hizi zinahitaji fungu la pesa i mean budget,kwa hapa tunaweza ila itabidi kutumia local materials.
 
As i know project kama hizi zinahitaji fungu la pesa i mean budget,kwa hapa tunaweza ila itabidi kutumia local materials.
 
Hii elimu nzuri sana ila materials kimeo mkuu. Ukiagiza kila kifaa unakuta gharama iko juu bora ungenunua complete
 
Sawa mkuu tutajifunza halafu baada ya kuzitengeneza tunafanyia nini ???
Inategemea na mahitaji yako unaweza tengeneza kwa ajili ta aerial photo. Upelelezi Kama vile kulinda mbuga za wanyama pia wireless communication. Kushoot video na mengineo.
 
Huku kwetu ungekuja na dawa za kumshika mpenzi na kumfanya mwanaume achelewe kukojoa....ndio mahala pake na hapa huu uzi ungefika hata page ya mia tano.....
Na ndoo maana jukwaa lenye watu wengi ni lile LA mapenzi na Siasa.lakini LA ujasilia Mali na hili LA teknolojia watembeleaji wachache Sana.
 
Ni vizuri kujifunza mambo haya ya teknolojia. Ni ndoto yangu kutengeneza drone. Nimejaribu siku nyingi japo sijafanikiwa.

nilipenda nijue motor za kutumia ni za volt ngapi? halafu batrii ya kutumia inayobebeka ni betrii gani?
 
Back
Top Bottom