Tujifunze Kuridhika na TulivyoNavyo..

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,321
4,671
1483693780475.jpg
 
doh...ndo ivo,bhan dunia haiko fair,wala binadamu hatufanani.though ilitakiwa tuwe sawa na tufanane
ila saiv ipo,daladala mwngne taxi,mwenye nacho ndo anaongezewa na mwngne hana kabisa.
 
Achana na kula mikate angalia umri wake angalia hapo nyuma huenda ni makazi yake yamebmolewa na je kama ndugu zake wamefia humo nafikir alien da kutafuta mkate wa wa kila siku ndio kakuta haLi hiyo nani wa kula hiyo mikate ni huzun saana bora kukaa nchi kandamizi kwa amani kuliko kutafuta haki kwa njia hii
 
Back
Top Bottom