hii iimetuliaTanzania ingekua daladala ningeomba nishuke
Hahaha hivi hii baby angu ipo apo juu?
ipo baby ake angalia vizuri.
Nyingine mbayaaaaaa hazichekeshi, hujifunzi chochote... hazina mashiko.
Mfano: miafrika ndo tulivyo. Ptuuu
Kuna jamaa mmoja kwenye sign yake kasema eti ..... ''mind your own business''.. hapo vipi?Nyingine mbayaaaaaa hazichekeshi, hujifunzi chochote... hazina mashiko.
Mfano: miafrika ndo tulivyo. Ptuuu
kazi umeipata ya kuzikusanya zote
mbona sioni signature za jukwaa la wakubwa?Umeonaeee eeee bestito
amekwenda majukwaa yote ya jf na kulundika hapa
yani kazi kweli kweli
Nadhani hata lengo la Nyani Ngabu halikuwa kati ya hayo uliyo yaandika, BTW ungetumia sahihi yako kujijibu.........
Kuna jamaa mmoja kwenye sign yake kasema eti ..... ''mind your own business''.. hapo vipi?
Acha uchokozi bana.. LIFE HELP alisema tujifunze kupitia signature zetu...
By the way..hiyo ndiyo signature ya Nyani Ngabu?
Mbona yangu hujaiweka??
Mbona yangu hujaiweka??