plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Habari zenu ndugu zangu wa jf.. leo tuangalie matumizi ya kifaa cha kujisafishia bidet.
Bidet nini? Hiki ni kifaa ambacho muonekano wake una fanana na choo cha kukaa (European type) matumizi makubwa ya hiki kifaa bidet ni kwa ajili ya kutapikia,kujisafisha au kutawadhia baada ya kuji saidia kuku safisha bila kutumia mkono au toilet paper.
Bidet ni muhimu sana kwa watu wenye maitaji maalum walio pooza,wazee,watoto au wale ambao awapendi kushika kinyesi..Mara nyingi kwa nchi zetu za Afrika hiki kifaa upatikana kwenye mahospital.
Bidet inatumia mfumo wa mixer ina maji moto na baridi japo sio lazima utumie maji moto..Ukimaliza kujisaidia una amia kwenye bidet una bonyeza batani una safishwa.
Ndani ya bidet kuna spray ambayo utoa maji kwa ajili ya kusafisha uchafu.
Wapo wanaopinga matumizi ya bidet asa kwa sisi wanaume una wezaje usafishwe na bidet.
Kwa ushauri na kazi nzuri zenye ubora za plumbing nitafute kwa namba Dar&Pwani