Tujifunze kubalance shobo

waterproof

JF-Expert Member
Aug 14, 2020
387
348
Habari wana JF natumain my wazima na buheri wa afya NJEMA

Leo nataka nikupe hii
1.ulisha wahi kuingilia kitu hakikuhusu kikakurudia ukaonekana wew ndo una makosa?

2.kuitika huku hujaitwa we we?

3.Kumjibia MTU swali ambalo hujaulizwa wewe?

4.kuingilia ugomvi ukapgwa wewe?

5.kujifanya unajua kila kitu alafu ukagundulika wew ni muongo?

Type kisa kimoja tucheke hapa na
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom