TUJIFUNZAGE KUWEKAGA AKIBA YA MANENO

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
20170415_045122.jpg
 
Attachments

  • 20170415_045122.jpg
    20170415_045122.jpg
    36.6 KB · Views: 30
Uzuri mmoja mwakani tupo tena. Kwa wanaocheza mpira wa MEZA pale Karume wao waendelee tu na majungu. Kafungwa Barca na PSG ije kuwa ajabu Yanga
 
Imekosekana herufi "k" kati ya herufi i na a ndicho walichomaanisha. "tutafika"
 
Jaman nasikia point za kagera simba kapolwa sasa na nimejarb kuchek msimamo nimeona tofaut ya point tatu tu kati ya simba na yanga
 
Jaman nasikia point za kagera simba kapolwa sasa na nimejarb kuchek msimamo nimeona tofaut ya point tatu tu kati ya simba na yanga
achana na maneno ya mtaani KAGERA wameomba REVIEW sio APPEAL
 
Back
Top Bottom