mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,208
- 1,109
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Hutaeleweka, watu wameamua kuungana na wezi kuishambulia kila nia njemaNikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Ukweli ukizihiri uongo hujitenga mbona hukulisema lile la dhulma lililofanyika kule Zanzibar na kuwanyanganya wazanzibar ushindi Wao wa octobar 25-2015Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
DONALD TRUMP IS COMING TO RULE AFRICANikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
UPEO WAKO NI WA KIPEKEE KABISA KUPATA KUUONA HAPA JF,BRO MAWAZO YAKO YANALENGA BARA ZIMA LA AFRIKA, FIKRA ZAKO HAZINA UBINAFSI HATA KIDOGO..MUNGU IBARIKI AFRIKA....LIKE.Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa
Usiseme dhulma,hiyo cha mtoto miaka mia mbili ya biashara ya utumwa hiyo ndio dhulma.Ukweli ukizihiri uongo hujitenga mbona hukulisema lile la dhulma lililofanyika kule Zanzibar na kuwanyanganya wazanzibar ushindi Wao wa octobar 25-2015
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Nikikumbuka biashara ya utumwa na jinsi gani ndugu zetu,jamaa zetu,makabila yetu walivyoteswa ;dhalilika'nyanyaswa'uwawa....,Nikikumbuka ukoloni ulivyodidimiza maendeleo ya nchi nyingi za inayoitwa dunia ya tatu au nchi maskini duniani..nikikumbuka vuguvugu la kudai uhuru na jinsi ndugu zetu/babu zetu walivyopinga/pata vikwazo/fungwa...
Nchi nyingi za kiafrika zinapita katika mapito makubwa kuekelea kupata maendeleo makubwa kijamii,kiuchumi na kisayansi..Mataifa yenye kuidoea Africa huku Tanzania ikiwa moja ya nchi lengwa hayafurahii na hayatakaa yafurahie kuona nchi hizi zikiendelea na kuacha kuwa tegemezi wa misaada ya vyandarua vyenye dawa,dawa za kusafisha maji,sindano za kinga ya pepopunda,tohara,vilainishi,etc etc..
Misimamo thabiti ya viongozi wetu ni kitu kisichotegemewa na mataifa yenye njaa ya unyonyaji ,ukwapuaji rasilimali,utekaji wa uhuru,haki,umoja ili kufanikisha kiu ya wizi wa rasilimali mafuta,madini,gas,vito,maji,n.k...Wapo tayari kufadhiri makundi wanayoyatengeneza kati yetu kwa kutugawa kwa misingi ya itikadi za vyama/dini /ukabila pasipo sisi kujua kwamba twatumika kwa faida ya mataifa husika yenye uroho wa rasilimali..
Sitoshangaa kuona tunapingwa kila kona,sitoshangaa kuona hukumu nyingi za kutukandamiza,sitoshangaa tukiwekewa vikwazo kama vya kwa Mugabe,Gaddafi,...,Sitoshangaa kuona hujuma dhidi ya uchumi wetu,Hujuma dhidi ya Sarafu yetu..Umoja wetu ni kitu muhimu sana katika wakati huu na tuendako..yatupasa kuweka itikadi zetu pembeni,yatupasa kuweka chuki zetu pembeni,yatupasa kuweka kiu zetu za madaraka pambeni huku uzalendo na maslahi mapana ya taifa yakiwekwa mbele zaidi.
Tuitetee Nchi,Tuinenee mema nchi yetu,Tukatae Kuivua Nguo Nchi Yetu,Tuisitiri nchi yetu,Tuhubiri habari njema dhidi ya taifa letu...Tanzania ni mali yetu na vizazi vijavyo.
Kwa akili yako unaamini Marekani anatetea wanyonge?Mnavuruga demokrasia halafu mataifa ya Magharibi yanapoingilia kati ili kuokoa wanyonge, mnakuja kutushauri tujifunge mkanda. Ujifunge na nani wakati tunaoathirika na sheria kandamizi ya mitandao ni sisi unaotushauri tujifunge mkanda? Kama mbwai na iwe mbwai, waache wamarekani watutie adabu kwa ukandamizaji wa watawala dhidi yetu walala hoi.