tujiachie chit chat coz mamoderator wote wapo jukwaa la siasa.

tujiachie chit chat coz mamoderator wote wapo jukwaa la siasa.

Hii kali! Hivo ina mana unaniambia kua hata hurusiwi kutongozwa?

mbona wanakubania angalia usije ukajisahau umri wa kuolewa ukapitilizia hapo hapo nyumbani.
Mi hua natongozwa hapa hapa jamvini. Siri ya nini kama ni dhati?
Na kama mtu yuko serious zaidi basi anapitia inbox ya Uncle
Uncle na anti wakisoma na kuridhika ndio wananitumia nijibu
wewe unae tongozwa PM umepata serious candidates? au ni hawa hawa?
 
Mimi dubu alinitongoza nikamtolea nje! eti angenigaiya peremende.

Mimi sidanganyiki. Ulijitahidi sana kunishawishi tufanye matusi lakini nikakukatalia. Nashangaa unanigeuzia kibao kwamba mimi ndo nlikutongoza. au niseme na matusi uliyokuwa unaniambia wakati mimi sitaki? niligundua ulikuwa na nia ya kunichezea tu.
 
Mi nilipata tatizo na inbox yangu toka january.
Kuna mtu alinitumia email ikanikwaza, nikamwambia Uncle
Basi toka hapo akafunga inbox yangu na anakaa na funguo
Sipokei PM yoyote, siwezi tuma PM except kwa family members.

acha uongo wewe wakati kila cku ulikuwa una ni pm ukiniomba ya cm nikakutolea njo!
 
Back
Top Bottom