tujiachie chit chat coz mamoderator wote wapo jukwaa la siasa.

nakwambia hiviii....siwezi kuachwa.....amini ninachokwambia....na hata limbwata sijamlisha bado....je nikimlisha itakuwaje....

hahahahaaaa...sawa mama nmekubali.
 
Hapa jf hakuna ndoa wanandoa wapo jf masaa yote ya siku huduma za ndoa wanafanyaga saa ngapi.
 
Nilisikia kuna ndoa zimevunjika....
1....Preta na Mtu Chake
2....Rejao na Cantalisia
3....Nitonye na Sweetlady
4....Smiling Saint na Smile

Mh nawapa pole sana watalaka wote....karibuni tena kwa kundi la mabachelor

Khaaaaaa!uwiiiii,natangaza kwa atakayenionea huyu ErickB52 anikamatie,hawezi kuleta uzushi wa aina hii kwenye ndoa yangu ya Rejao iliyo imara kiac hiki!popote ulipo ww zushi mda huu tuko ndan ya net na mme wangu tunaanda mlo wa usiku ebo!
 
Kwani nina kosa gani??
Mi natekeleza maagizo ya thread.....
 
Nilisikia kuna ndoa zimevunjika....
1....Preta na Mtu Chake
2....Rejao na Cantalisia
3....Nitonye na Sweetlady
4....Smiling Saint na Smile

Mh nawapa pole sana watalaka wote....karibuni tena kwa kundi la mabachelor

ina maana smile ana mwingine tena!!?? Haaa
 
Kwani nina kosa gani??
Mi natekeleza maagizo ya thread.....

Maelekezo ya sred eee!bibi cheka kasema hataki usumbufu mda huu ucmbip yuko bize anafanya mazoezi kwa ajili ya shoo ya jmoc,anasema km ni hela atakutumia kwa mp ebo!
 
mwenye udaku, umbea, uchonganishi, uzushi, majigambo, mipasho, dukuduku, atoe hapa leo kwa sababu hatapata ban hata akitukana. ofisi za jf wote jicho kwa luninga bungeni.
Mimi naanza kuna kasichana fulani kalinipm upuuzi yaani akaniambia mambo machafu. aliniambia matusi lakini mimi sitaki kufanya kayo matusi. kama akichangia tu namtaja live. Ikiwezekana nimtafutie mtu mwingine wa kumwambia hayo matusi hasahasa ntamtafutia kongosho. leo hakuna ban welawela siri zote za pm hadharani.
Dubu, acha kupoteza watu, Ban ipo kama kawaida. Halafu mambo machafu nilikwambia PM ni yapi? Mbona tuliongea tu kama watu wazima? haikua lazima kuanzisha uzi hapa. Na ukisema yale nilisema, na mimi nasema yako.
 
Maelekezo ya sred eee!bibi cheka kasema hataki usumbufu mda huu ucmbip yuko bize anafanya mazoezi kwa ajili ya shoo ya jmoc,anasema km ni hela atakutumia kwa mp ebo!
Ungekuwa hujaachika tungeshasikia unampa cha usiku...lol
Siku hizi kimyaaaaa talaka mbaya jamani lol
Pole Canta
 
Back
Top Bottom