tujiachie chit chat coz mamoderator wote wapo jukwaa la siasa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tujiachie chit chat coz mamoderator wote wapo jukwaa la siasa.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by dubu, Apr 17, 2012.

 1. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  mwenye udaku, umbea, uchonganishi, uzushi, majigambo, mipasho, dukuduku, atoe hapa leo kwa sababu hatapata ban hata akitukana. ofisi za jf wote jicho kwa luninga bungeni.
  Mimi naanza kuna kasichana fulani kalinipm upuuzi yaani akaniambia mambo machafu. aliniambia matusi lakini mimi sitaki kufanya hayo matusi. kama akichangia tu namtaja live. Ikiwezekana nimtafutie mtu mwingine wa kumwambia hayo matusi hasahasa ntamtafutia kongosho. leo hakuna ban welawela siri zote za pm hadharani.
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nilisikia kuna ndoa zimevunjika....
  1....Preta na Mtu Chake
  2....Rejao na Cantalisia
  3....Nitonye na Sweetlady
  4....Smiling Saint na Smile

  Mh nawapa pole sana watalaka wote....karibuni tena kwa kundi la mabachelor
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,513
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  nina umbea debe...naogopa kusutwa aisay!...
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  haa!....usinitake nizikiri uchi wewe.....hii haiwezi tokea.....
  mimi na yeye mpaka akhera.......

   
 5. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,274
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  hahahahahahahaha...kutokea hiyoo...ni ndoto....
   
 6. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,274
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  bebii umeona PM yangu kwako?
   
 7. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  waacheni watoto wazuri waje kwangu kwani ufalme wa moyo wangu ni wakwao. kama wewe umetemwa na mpenzi au upo single nakukalibisha nafsini mwangu. usiumie kutemwa kwako bali shangilia coz umenipata. umesika preta na wengine wote?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  nimeiona hanee....ngoja nikakujibu......
   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 3,274
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  pouwaaa....
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  akaa....my bebii hawezi kuniacha kamwe.....
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  wewe vipi? unaogopa nini sasa? usiogope mkuu, akikusuta na wewe si unamsuta? jiachie. hamna ban leo kama vipi mchambe tu.
   
 12. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,025
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  mbona tushaambiwa umeachwa? kubali bana watu tukumiliki.
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  nakwambia hiviii....siwezi kuachwa.....amini ninachokwambia....na hata limbwata sijamlisha bado....je nikimlisha itakuwaje....

   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Kuna nini hapa ...Mbona mmekimbia mapoint kule Bungeni

  kweli nimeamini wengine na siasa ni kama maji na mafuta wakijaribu tu ni Ban
  ..
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  kule bana inahitajika uwe kwenye heat (la siasa).....kama sivyo hakufai....

   
 16. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa lol
  Ngoja nijihakikishie kwanza maana taarifa yako siiamini
   
 17. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #17
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Mtu chake acha maneno...Mbona Tanmo alipokuja A Town alikuzidi kete...lol
  Tena Preta alomsindikiza hadi kwa babu yake kule Oldonyo Lengai?
  We ishakula kwako ila hujaambiwa tu hapa anakufariji
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa nani anataka Stress leo jumanne?
  Unataka hamu ya kazi iishe aiseee? Lol
  Siasa ina wenyewe bhana
   
 19. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #19
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,570
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 280
  Haya, ngoja nifunguke sasa!
  Mimi ni mjane jamani, tangu wifi yenu Mpolee apotee mazima hajapatikana wa kuziba pengo lake (na arobaini ishapita), and this baridi is killin' me kwa kweli.
  Nakaribisha maombi toka kwa warembo wote wa Chit-Chat kupitia PM, uzi huu au hata independent thread, from this moment!
  Patiently waiting...
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Ngoja tukutafutie Jane000
   
Loading...