Light Saber Imetosha Sasa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 5,182
- 9,586
- Thread starter
- #41
ntafanyia kazi bockwann wanawake kama hana kazi ukamtafutia akaanza kazi anajikuta ni kama kamaliza kila kitu jeuri zarau na kiburi juu . nikivaa viatu vyako inaumiza mwanamke kukujibu jeuri kama hyo . na inaonekana alikuwa na boss wake wanafanya yao ndo mana hakupokea cm . jaribu kumchunguza ukibaini ukweli piga chini ukikaidi jiandae kuua au kujiua kwa ajili ya upuuzi mapenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app