TUJADILI

TUJADILI

Acha kuhangaika na mwanamke wa hivo huyo wala hakupendi labda, wanawake wanataka uhuru labda mwambie shida nini? wengne lazima uwapeleke kudance sasa amepata wa kumfanyia hayo mavituz au anatafuta.
 
kwann wanawake kama hana kazi ukamtafutia akaanza kazi anajikuta ni kama kamaliza kila kitu jeuri zarau na kiburi juu . nikivaa viatu vyako inaumiza mwanamke kukujibu jeuri kama hyo . na inaonekana alikuwa na boss wake wanafanya yao ndo mana hakupokea cm . jaribu kumchunguza ukibaini ukweli piga chini ukikaidi jiandae kuua au kujiua kwa ajili ya upuuzi mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom