sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
- Thread starter
- #21
Hii ndo kazi yenyewe mkuu. Wewe hapo unavyofatilia huu uzi unafanya kazi gani? Acha uzuzu
Fanyeni kazi
Fanyeni kazi
Acha porojo wewee humu jamvin. Fanya kaziHii ndo kazi yenyewe mkuu. Wewe hapo unavyofatilia huu uzi unafanya kazi gani? Acha uzuzu
1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.Hivi wapenzi wa hii tamthilya, nikiangalia naona kamq ipo ukingoni, Hurem ameipata Harem na Ibrahim pasha ameishajulikana mwisho wake Hadije atamtaliki hivyo Pasha anaweza kuuliwa. Pasha akiga ndo utamu wa tamthiliya unaisha. Au mnasemaje wapenzi wenzangu?
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
Kweli eeh? daah...! kama ni hivyo pasha kunyongwa nafikiri ndio inakuwa mwisho au? alinyongwa kwa kumdokoa Nigaricalfa?Mkuu kuna siku nilipita Wikipedia kudodosa juu ya hii tamthiliya, kuna mahali itafikia huyo jamaa atanyongwa na Sultan kwa mikono yake.
Nina muda sijaangalia, maana mimi huwa nikishajua conclusion tu naachana na movie au tamthiliya.
no no noMkuu kuna siku nilipita Wikipedia kudodosa juu ya hii tamthiliya, kuna mahali itafikia huyo jamaa atanyongwa na Sultan kwa mikono yake.
Nina muda sijaangalia, maana mimi huwa nikishajua conclusion tu naachana na movie au tamthiliya.
wengine wanasema itajulikana mustafa ni wa ibrahim pasha sio wa sultan, sasa sultan atajuaKweli eeh? daah...! kama ni hivyo pasha kunyongwa nafikiri ndio inakuwa mwisho au? alinyongwa kwa kumdokoa Nigaricalfa?
no no no
Hatonyongwa sema atakua anaona shida sana kumuua pasha vile wametoka mbali
Atapanga mipango madhubuti atahakikisha kwenye mauaji yeye ajifanye hausiki lakini anahusika ambapo itampelekea hadija sultana kunywa sumu ajiue.
1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa
Yakubu efendIbrahim pasha anapitia kipindi kigumu lakini hata hili litapita
Sultan nzurii jamanii ,,nalipa king'amuz kwa sababu hii1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.