Tujadili Tamthiliya ya Sultan

Hivi wapenzi wa hii tamthilya, nikiangalia naona kamq ipo ukingoni, Hurem ameipata Harem na Ibrahim pasha ameishajulikana mwisho wake Hadije atamtaliki hivyo Pasha anaweza kuuliwa. Pasha akiga ndo utamu wa tamthiliya unaisha. Au mnasemaje wapenzi wenzangu?
1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa
 
Mkuu kuna siku nilipita Wikipedia kudodosa juu ya hii tamthiliya, kuna mahali itafikia huyo jamaa atanyongwa na Sultan kwa mikono yake.

Nina muda sijaangalia, maana mimi huwa nikishajua conclusion tu naachana na movie au tamthiliya.
 
Kweli eeh? daah...! kama ni hivyo pasha kunyongwa nafikiri ndio inakuwa mwisho au? alinyongwa kwa kumdokoa Nigaricalfa?
 
Mkuu kuna siku nilipita Wikipedia kudodosa juu ya hii tamthiliya, kuna mahali itafikia huyo jamaa atanyongwa na Sultan kwa mikono yake.

Nina muda sijaangalia, maana mimi huwa nikishajua conclusion tu naachana na movie au tamthiliya.
no no no

Hatonyongwa sema atakua anaona shida sana kumuua pasha vile wametoka mbali

Atapanga mipango madhubuti atahakikisha kwenye mauaji yeye ajifanye hausiki lakini anahusika ambapo itampelekea hadija sultana kunywa sumu ajiue.
 
Yes, nimeona.

Executed on Sultan's order.
 
1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa

Sio kweli mkuu

1. Ibrahim atuliwa tena na sultani mwenyewe kwa kukatwa kichwa kutokana na shinikizo la hurem

2. Shazde mustafa atuliwa na sultan mwenyewe kutokana na vita ya madaraka shinikizo kutoka kwa hurem

3. Hadija sultana atajua mwenyewe kwa dhana ya kuogopa kuuliwa na sultan baada ya kudhani amemuua hurem kumbe laaa

4. Hurem sultan atakufa kutokana na ugonjwa na kudhohofu kiafya

5.Sultan atakufa na kitu kuchukuliwa na selim mtoto wa hurem miongoni mwa wale watoto wadogo wa hurem

6. Balbey atarudi na nigal kalfa ata kufa
Mihimaa atajifungua mtoto ila ata kufa

Inshort mambo ni mengi
 
1. Hadije ameongea lile neno “nakutaliki” pale mwisho ili kukuweka attention mtazamaji. Hawezi kumtaliki,watasameheana.
2. Pasha hawezi kuuawa ksbb ni sehemu ya staring (ndio maana watazamaji wengi wanamkubali,halafu hawapendi yamkute mabaya)
3. Sultan atajua kile alichofanya pasha ila hawezi kumtoa auawe. Kinga ya pasha iko kwa Hadije. Hawezi kubariki kitu kama hicho kimtokee pasha. Sultan akifikia hapo atajiuliza mdogoake mwingine alivyomlilia kuuawa kwa mume wake. (recall shazad Mstafa alimuuliza mtukufu pamoja na shangazi kukulia ukamuua mumewe?) Mtukufu hatataka ile hali ijirudie,ukizingatia anampenda sana Hadije.
4. Tamthilia inaweza ikawa mwisho mwisho,ndio maana Hulem kafikia malengo,kudhihirisha ufalme wa Suleiman kwamba nae alidanganywa na mwanamke kama ilivyo kwa Adam na Hawa,kama ilivyo kwa Samson na Delila.
5. Sultan Suleiman atafariki,Mstafa atashika hatamu ya uongozi. Na uongozi wake utapendwa na wengi. Hapo naiona hatima ya Hulem
6. Mwisho Japo hii tamthilia si nzuri sana,ila yamo mafundisho ,ina makosa mengi,siku za mbeleni Azam wajaribu kuchagua tamthilia kali,kama zile au hata wanaweza kurudia hizo hazichuji (ACAPRUCO-BEY) wengi wataikumbuka zamani ITV nafikiri.
7. Tamthilia hazichagua jinsia,nafikiri yule anaetaka kulazimisha wengine wasiangalie ksbb ya jinsia anakosa muda. Wengine wanasema huwezi kuangalia Me kwa kisingizio cha muda unapata wapi? saa 4 usiku wewe Me utakuwa wapi badala ya kuwa home ukufurahia na watoto pamoja? (wenye familia). Sio rahisi ukipendacho wewe na mwingine akapenda.Tena msiangalia kuna mafundisho mnayakosa
Sultan nzurii jamanii ,,nalipa king'amuz kwa sababu hii
 
Wewe unaesema,, hiyo tamthiliya ni ya kike, una uanaume gani kuzid sultan Suleiman khan? ..hao waloigiza wote ni wanawake ? Acha uzwazwa wa kukalili,, baba ako mwenyew anangalia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom