sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,130
Hivi wapenzi wa hii tamthilya, nikiangalia naona kamq ipo ukingoni, Hurem ameipata Harem na Ibrahim pasha ameishajulikana mwisho wake Hadije atamtaliki hivyo Pasha anaweza kuuliwa. Pasha akiga ndo utamu wa tamthiliya unaisha. Au mnasemaje wapenzi wenzangu?