TUJADILI: Tabia ya watu kuacha miswaki chooni na bafuni

TUJADILI: Tabia ya watu kuacha miswaki chooni na bafuni

Wengine wanajisahau lakn wengn ni maksudi 2 lakin kwa kusem 2 ukwl kuacha mswaki chooni c tabia nzur hat kam una ish mwenyw
 
Si sahihi Mkuu,

Sababu kubwa ni mazingira ya chooni kwa ujumla Mara nyingi hutoa harufu ambayo kiafya si nzuri.
Ila sioni mbaya Kama chumba ni self contained kwa maana mume na mke pekee ndo wanashare sio mbaya Sana Kama usafi utazingatiwa.
 
Sick Mywifo wako akichukia unautumia kusafishia chooo Kwiki Kwiki Kwiki III!
 
Mbona unaingia chooni na mdomo wako? Kipi chenye thamani? Mswaki au mdomo wako?
ha ha umenichekesha mkuu.. umenikumbusha enz za bweni!! walimu wakawa wanalalamika wakikuta ugali kwenye masink ya vyoo... na dai lao kubwa ikawa ina maana watu tunangia na sahan za msosi mpaka chooni na bafuni.. watu wakajibu mbona midomo na mikono na midomo tunaingia nayo chooni na hawasemi kitu!!
 
afu ndo Tania yangu,chupi kwenye kamba peupee na nisivyojua takatisha katikati
 
Si sahihi Mkuu,

Sababu kubwa ni mazingira ya chooni kwa ujumla Mara nyingi hutoa harufu ambayo kiafya si nzuri.
Ila sioni mbaya Kama chumba ni self contained kwa maana mume na mke pekee ndo wanashare sio mbaya Sana Kama usafi utazingatiwa.

Pia inategemea choo na choo na usafi wa hicho choo.
 
Mwenye chuki nawe anautumbukiza chooni, unapatapata ule ubichi wa maji taka kisha anairudisha mahali pake, unakauka wewe ukija unajiwekea tu dawa na kusukutua.

KAMA KUTA ZINGEKUWA ZINAONGEA, ZINA MAMBO MENGI SANA YA KUSEMA.
 
Duh! Chuki ya hivyo ina maana akipata mpenyo wa kukuwekea sumu anakuwekea
 
Hata hii ya kufua chupi kisha unatoka bafuni zebedayo!!! Yaani na kitaulo ama khanga kwa wadada na kuchupi unakificha ticha kwapani. Huku nyuma ni singida dodoma singida dodoma.
 
ni mwiko kuweka mswaki wangu chooni licha ya mtu kuutumia anyhow lakini chooni si sehemu salama sana kuna kila aina ya bacteria.
Mimi nilikuwa nikisahau mswaki chooni siutumii tena/nautupa kabisa, baadhi ya vyoo huwa na inzi. Inzi aliyekuwa kwenye nanihii akitua kwenye mswaki ujue ataupaka nanihii.

Sikuhizi nikisahau mswaki chooni nauosha kwa sabuni au dawa ya meno halafu nauchemsha.(bado sijapata grisi)

Ni vizuri kutunza mswaki ndani ya kasha lake baada ya matumizi.
 
Back
Top Bottom