kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ben alimjengeaga JkN kule Mwitongo kwa kuwa aliona hakuwa na nyumba ya hadhi ila hawa wazee ambao walikula hela zetu mabilion kwa mabilion siungi mkono
SAWA PUNGUANI MKUBWA, CDM KAMA SIO KUTUMIA AKILI ZA KUWA WAMEHIFADHI FEDHA ZA KAMPENI SIJUI WANGELIFANYAJE MAANA SEREKALI IMENYIMA KABISA HELA ZA KAMPENI NA KUTOA KUDUCHU MNO KWA DHAMIRA VIFELI KWENYE KAMPENI KUMBE WENZAO WAKAWA NA AKILI KUBWA ZAIDI MPAKA WAMEKODI NA CHOPA KITU AMBACHO KINAWASHANGAZA SANA CCM "'mradi wa nyumba bora kwa watanzania wote wanyonge upo pale pale kila familia ya mtanzania na nyumba moja" ndio mkakati wa LISSU 2020-2025Punguani, mmeshindwa ofisi ya makao makuu ndo iwe nyumba za watanzania?. Labda Robert Amsterdam awajengee wake zake.
View attachment 1604263
Nyumba haikujengwa na Ben bali wanajeshi walimwomba wamjengee baada ya kustaafuBen alimjengeaga JkN kule Mwitongo kwa kuwa aliona hakuwa na nyumba ya hadhi ila hawa wazee ambao walikula hela zetu mabilion kwa mabilion siungi mkono
Bwashee acha uchochezi!
Mkuu tafuta maisha yako. Ukiwaza yao utachelewa kufanya yako
Tena wanajengewa Kawe beach, Masaki etc. Kule upepo mwanana unapovuma.ila hawa wazee ambao walikula hela zetu mabilion kwa mabilion siungi mkono
Wee unaishia kupiga pambio tu wenzio pamoja nakuiibia Nchi wanajengeana majumbaBwashee acha uchochezi!
Duni Wapiii Jiwe hadi nyumba za serikali kawazawadia michepukoDaah thread za viwango duni zimekuwa nyingi mno.
Hata wachungaji wanakula vya madhabahuni!Wee unaishia kupiga pambio tu wenzio pamoja nakuiibia Nchi wanajengeana majumba
Ilitungwa na ccm kwa manufaa ya viongozi wa ccmSheria hiyo imetungwa na nani kwa maslahi ya nani?