Tujadili: Mid Life crisis


da, umenikosha kweli, hapo kwa mwanaume nafikiri ulimsoma my hubby
 
Kumbe!! ndio maana nilikuwa sielewi ni kwa nini mwenzangu huwa tunagombana hata kwenye simu bila kuonana!! anyway nakwenda kufanya jogging nitarudi hapa.
 
Kumbe!! ndio maana nilikuwa sielewi ni kwa nini mwenzangu huwa tunagombana hata kwenye simu bila kuonana!! anyway nakwenda kufanya jogging nitarudi hapa.

Ni bora kumuelewa, natumaini mtaishi vizuri zaidi. BTW wanasema mazoezi, chakula bora husaidia sana hii kitu. Kudos!
 
da, umenikosha kweli, hapo kwa mwanaume nafikiri ulimsoma my hubby

It is better to understand him, ili uweze kucope naye; la nawe unaweza changanyikiwa!
 
well said shosti!
lakini mi kuna mtu aliniambia mwanamke akifika miaka 38 na kuendelea ndo kipindi anainjoi sana sex,as zile hofu za kimaisha zimeisha,na amesharidhika kama ni umaskini wake au utajiir ndoa kashaupata!
hii nayo iko vipi!
si unanijua nilivo mbovu kwenye theory yani huwa napata shida kweli kucomment kwenye uzi general raha yangu mie mtu awe anasimulia as a story!ndo najiona mwepeeesi!so nisaidie kuidadavua hii mwaya
 
snowhite, it is true kuwa at late 30s n 40s mwanamke anaongeza hamu ya sex; it is part of the same 'midlife crisis' live life to the fullest na au raha jipe mwenyewe maisha yenyewe mafupi haya.

So waliokuambia wako right kabisa.

Kulikuwa na mke wa boss wangu (boss Mzungu) Mke (mpare), yaani alikuwa anamegwa sana na vitoto snavyovizidi Kama 20yrs tena beach tu, mume akiwa ameenda kumuogesha mtoto. Ilikuwa inauma sana kwa kweli. She was in her mid 40s, mume nafikiri alikuwa kwenye mid 50s. So u can imagine uwezo wa mume ulikuwa unashindwa kumeet demand ya mke.
 
Last edited by a moderator:
i hope mi nikifika huko shem wako awe na mapafu haya haya,lol!
 

Calm down!
 
Sikujua kuwa ninacho-experience sasa ni mid-life crisis, asante Kaunga kwa kunifumbua macho. Yaani dalili zote ulizoorodhesha kwa wanawake almost nazi-experience kwa sasa kasoro hayo mambo ya kuflirt na kuwa na affairs wala siwazii. Kwa kweli sikutegemea kama ingenitokea wakati huu(yes, nakaribia 40) nilidhania mpaka nikaribie 50's or something.
Sasa je, mbali na kula vizuri na mazoezi, kipi kingine kinaweza kusaidia ku go through this phase?? Msaada pls kwa yeyote mwenye experience or uelewa wa hii kitu.
 
Kwa mujibu wa tafiti za sosholojia, Waafrika na Waasia hawapati/hawakumbwi na mid-life crisis
 
Kwa mujibu wa tafiti za sosholojia, Waafrika na Waasia hawapati/hawakumbwi na mid-life crisis

Lkn si unaona watu wanavyofunguka? Nafikiri sio kwa kiwango kikubwa sana lkn ipo.

Is it because wana matatizo mengine mengi kiasi kwamba umri hawawazii sana?
 
dora you are not to fight about it, ni bora kuelewa ili kujaribu kujirudi. Kaa na marafiki (usijitenge sana), kama unaweza kumpata mshauri nasaha anaelewa haya mambo inaweza saidia kiasi.

Si ugonjwa ni phase tu, hivyo jitahidi kuwa busy na social, ibada pia ni muhimu!
 
Last edited by a moderator:
MLC ni mbaya sana.. kwamba kuna wakati/umri unafika hata uwe na pesa vipi, hata uwe na maisha mazuri kiasi gani.. hata uwe na cheo gani.. utakaa chini na kuona hii yote ni upuuzi tu! Unagundua kuwa vile vitu unaviona vya maana kumbe havikupi satisfaction yoyote.. Juhudi zote ulizofanya maishani unaona kama ni kazi bure..
Mbaya zaidi ukute una mitoto minunda hata ukiiangalia huoni future yao.. We unahangaika kutafuta ukijua unaijengea future unakuta mitoto inavuta bange tu.. mingine imekuwa mikahaba.. shuleni sifuri tuu.. Ndugu uliowasaidia wanakudharau na kukuona mjinga.. Mkeo anaona humridhishi tena maana ubunifu kitandani ulishaisha.. Ofisini unaonekana huna jipya vijana wadogo wanapanda chati na hawatambui uwepo wako.. unaanza kuwa "invisible".. Likitambi ndio kama hilo.. Upara.. Makunyanzi.. Mvi.. Usingizi hamna.. Mipombe ukinywa hulewi.......!!
Matokeo = Presha..! Biipii..! Kisukari..! Gauti..! "Shtresh"..! Mawazo..!
 
TheChoji watu wanauliza wafanyaje? Maana kuna ambao wanajihisi wako ktk kipindi hicho tayari.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana C6, kama ulivyoshauriwa cool down kwanza.
Ukiweza pata counseling, ni kitu muhimu sana katika kipindi hiki. Ni bora kutengeneza hobby nyingine, ikiwezekana hata kusafiri ili ukutane na watu wapya kuliko kuwa wasichana wengi, maana unaweza USIJALI hata kutumia condom.
 
Lkn si unaona watu wanavyofunguka? Nafikiri sio kwa kiwango kikubwa sana lkn ipo.

Pia kuna wengine wanajipachika kuwa ni MLC wakati kimsingi ni depression ya kawaida

Magonjwa yanauohusisha saikolojia kwetu Afrika hayajapewa umuhimu pia. Kweli labda tunapata kidogo zaidi kuliko jamii nyengine, ila yapo.

Yakitokea tunakumbilia "karogwa" au "ana mapepo"
 
Yaani hapo nilipo-bold pananiudhi jamani

Sijui kwa nini nakosa uvumilivu napo kabisa


Kuna mdada pale Kinondoni alikuwa anasambaza unga, kwa mujibu wa ndugu zake
Kaugua muda mrefu haendi hospitali wanasema ana majini


Wamempeleka last week, daktari akawaambia mmechelewa sana mlikuwa wapi?
Huyu binti ana VVU na CD4 zimeshuka sana hafai hata kuanza ARV kwa sasa hadi CD4 ziongezeke
Kwa hiyo mgonjwa karudishwa nyumbani, sasa hivi wanamhangaikia na vyakula ili CD4 ziongezeke aanze kupewa ARV

Yakitokea tunakumbilia "karogwa" au "ana mapepo"
 
.......mie hii naichukulia kama wale wanaokurupuka kuitafuta shuka wakati kumekucha...
 
This is the best thread from you Kaunga..
ajabu wabongo na waafrika huwa hatujadili haya mambo....
wakati yapo mno kwenye maisha yetu
 
Last edited by a moderator:
Mimi naanza kuogopa huko hata kama bado. Mambo mengine kutiana presha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…