Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Ni usanii tupu maana kibali alitoa PM.Labda kama sio zile sinema zao, lakini hili nalo linaweza kuishia hewani tu kama yalivyotoweka mengine.
Wanataka kututoa kwenye ajenda.Mkurugenzi huyo wa Halmashauri hiyo, Mhandisi Modest Apolinary amejibu tuhuma hizo na kusema kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa kufuata utaratibu na waliomba kibali kutoka kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na walipewa kibali hicho.
Tatizo lipo kwenye Mfumo wa manunuzi kwani hizo VX zipo Nchi nzimaKutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.
Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.
Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.
Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.
Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?
Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
Kuna bifu kati ya mbunge Msukuma na mkurugenzi wa Geita ndipo Msukuma a katengeneza fitna lakini hizo Gari hata CCM wanazo nyingi kuliko hata chama Tawala cha Japan zinakotengenezwaMkurugenzi huyo wa Halmashauri hiyo, Mhandisi Modest Apolinary amejibu tuhuma hizo na kusema kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa kufuata utaratibu na waliomba kibali kutoka kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na walipewa kibali hicho.
Wametengeneza tuhuma feki kuuhadaa umma wakiamini watanzania hasa masikini wa vijijini wataiona Serikali inajua kubana matumizi vizuri kumbe ni mbinu za hovyo tu za kuwadaa watuWanataka kututoa kwenye ajenda.
Mkuki kwa nguruwe........Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.
Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa.
Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika Makinda ilizua mjadala mkali sana na Serikali ikaazimia kutafuta magari ya bei ya chini lakini baadhi ya mabeberu weusi wakakataa wakidai Mkurugenzi lazima awe na gari la hadhi yake.
Maisha yameenda kasi na karibia viongozi wote waandamizi wa nchi hii wanatumia v8 na mashangingi mengine ya kifahari. Hivyo Mkurugenzi wa Geita amefuata nyayo tu.
Jambo linalozua mtafaruku ni kuhusu utaratibu wa ununuzi wa magari ya Serikali yakiwemo ya wakurugenzi. Je, kwa mfumo wa Sasa ambao fedha zote zipo hazina na huduma nyingi zinalipwa kwa control number, Mkurugenzi alinunua gari bila Hazina kushirikishwa? Je, kama walishirikishwa walipitisha vipi Kibali ambacho kipo kinyume na circula ya serikali? Kwanini wote waliokula mchongo wakuingizia Serikali hasara wasitumbuliwe?
Nadhani Mhe. Jafo tume yako ipe adidu za rejea, moja ya adidu za rejea iwe "kupitia mchakato mzima wa ununuzi wa gari ilo" then wakikuletea ripoti isome public tujifunze mchakato wa manunuzi tujue kama tatizo lipo kwa Mkurugenzi au lipo kwenye mfumo wa manunuzi ili marekebisho yafanyike.
Mi nashangaa wanajifanya wanabana matumizi mbona hawaangalii misafara yao inavyotafuna fedha za walipakodi? Kwani Mkurugenzi wa Halmashauri anatofauti gani na wakurugenzi wengine wa mashirika ya Umma wanaotembelea VX V8?Kuna bifu kati ya mbunge Msukuma na mkurugenzi wa Geita ndipo Msukuma a katengeneza fitna lakini hizo Gari hata CCM wanazo nyingi kuliko hata chama Tawala cha Japan zinakotengenezwa
Umenena yote, kujishebedua tu kule.Mi nashangaa wanajifanya wanabana matumizi mbona hawaangalii misafara yao inavyotafuna fedha za walipakodi? Kwani Mkurugenzi wa Halmashauri anatofauti gani na wakurugenzi wengine wa mashirika ya Umma wanaotembelea VX V8?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na akaongeza kwamba, kama swala ni magari basi kwataarifa tu nikwamba kuna magari mengine matatu tayari wame agiza, moja ni ambulance na mawili ni kwaajili ya supervision.Mkurugenzi huyo wa Halmashauri hiyo, Mhandisi Modest Apolinary amejibu tuhuma hizo na kusema kuwa gari hilo lilinunuliwa kwa kufuata utaratibu na waliomba kibali kutoka kwenye ofisi ya Waziri Mkuu na walipewa kibali hicho.
Hapo lazima kuna makatibu wa hazina na watendaji wa wizara huenda walidhani magufuli hatarudi n wakaona hii ni nafasi ya kujilipa kabla ya utawala mpya,Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani.