Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,089
- 6,267
Ukiangalia LBL every corner of the internet wanaitaja na bado watu wanapata matumaini ya kuwekeza humu.Kuacha tamaa.
Hakuna pesa rahisi au ya bure.
Shirikisha watu wako wa karibu.
Watoa huduma za kifedha, jiridhishe vya kutosha kabla hujamalizana na mteja.
Imagine hata hizi pyramid scheme wanashindwa kudhibiti.Nachoshangaa ni TCRA na mitandao ya simu kushindwa kuwadhibiti matapeli nitakuwa wa mwisho kuamini hawashirikiani.
Tapeli anajuaje namba yangu, anajuaje nimepokea hela ananitumia meseji, mitandao inashindwaje kubaini meseji za kitapeli na kuzizuia.
Kuna haja gani ya kutumika NIDA kama wanashindwa kuwakamata na kuwachukulia hatua matapeli ambao wamesajili kwa NIDA.
Namba zisizosajiliwa kwa NIDA zinaruhusiwaje kufanya mawasiliano hasa hizi za 0738......
Tatizo kubwa ni tamaa hata technology ikikua tamaa ipo palepale mbinu zitabadilishwa.Imagine hata hizi pyramid scheme wanashindwa kudhibiti.
We need a lot of changes on Technology sector in our country
Jifunze mambo mbalimbali kuhusu utapeli mtandaoni hapaHabari wadau,
Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao.
Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu:
✅ Aina mbalimbali za utapeli mtandaoni
✅ Mbinu zinazotumiwa na matapeli kuwahadaa waathirika
✅ Njia bora za kujilinda na kutambua utapeli kabla ya kuwa mwathirika
✅ Sheria na hatua zinazochukuliwa dhidi ya utapeli mtandaoni
Je, umewahi kukumbana na aina yoyote ya utapeli mtandaoni? Unadhani nini kifanyike ili kupunguza visa vya ulaghai mtandaoni? Karibu tushirikishane uzoefu na maarifa!
NB. LBL ikumbukwe tafadhali.
Ni kweli mkuu watu wanapigwa kwasababu ya tamaa ya kupata pesa haraka na wanajisahau in today's world the internet is full of scammers every cornerAlways market will attract those who want to make rich quickly and rewards only who want to make rich patiently.
Unapotaka uharaka wa mafanikio lazima uwe chambo na udunguliwe kirahisi.
Pia watu waache kuhesabu faida kabla ya deal kukamilika inawafanya wawe na haraka ya kuingia bila kutafakari.