Kwenye uzi ule ulizungumzia umuhimu wa uaminifu kwa wana ndoa, ndio maana nikasema nilitegemea mchango unahamasiha uaminifu; au sivyo ulivyomaanisha kwenye post yako ya awali?
Na nimekuuliza pia kuwa machale ni remedy au silaha ya kujihami na kuvunjika kwa uaminifu? Sasa kila mtu akijihami hiyo familia itakuwaje au hayo maisha yatakuwaje au hiyo partnership katika biashara itakuwa vipi?
mi nafikiri watu wanaaminiana sana, wapo wengi tu wanaingia kwenye biashara bila hata makubaliano ya kimaandishi, hapo wanaongozwa na kuaminiana.
tuna wapenzi wetu na tunashiriki nao sex, ni imani hiyo mpaka kuoneshana viungo vyenu vya uzazi.
trust ipo sana sema tu kinachosumbua wengi ni hofu ya kutendwa lakini huwezi ukafanya yote hayo bado useme huwaamini watu wako.
alikuwa anmeniambia eneo lote hilo ni lake kumbe ni mwongo:crying::crying::crying:...
Mh!!!!
mi nafikiri watu wanaaminiana sana, wapo wengi tu wanaingia kwenye biashara bila hata makubaliano ya kimaandishi, hapo wanaongozwa na kuaminiana.
tuna wapenzi wetu na tunashiriki nao sex, ni imani hiyo mpaka kuoneshana viungo vyenu vya uzazi.
trust ipo sana sema tu kinachosumbua wengi ni hofu ya kutendwa lakini huwezi ukafanya yote hayo bado useme huwaamini watu wako.
Ungekubali alikuwa na mpango wa kukufanya nini?
bwana asifiwe.
angenidocha tu....
mimi ni mmoja wa watu wanaoamini mtu kabla na kutomuamini baada ya kutendwa; nilijaribu kuishi kwa machale nikajikuta nakosa amani nimeona l am the best person nikiwa the way l am trustful. Hivyo nakubaliana na wewe kuwa wengi bado tunaaminiana hata baada ya kuumizwa mara kadhaa.
.
Nafikiri Eiyer alimaanisha maisha yanakuwa magumu usipoamini watu, usipoamini huyu dreva atakufikisha salama kazini, usipoamini hayo maembe uliyonunua hayajadungwa sindano za sumu, usipoamini kuwa housegirl hajakojolea mkojo kwenye chai yako, usipoamini nyama choma uliyokula huenda ni nyama ya mbwa etc. Labda hii nimeexagerate lakini ofcourse as you said huwezi muamini kila mtu kwa baadhi ya mambo lakini you got to trust someone, awe mume, mke, dada, rafiki haijalishi. It is okay kuwa na siri walau moja au mbili lakini zile zisizo na madhara makubwa.
Khaaaaaa!!!!!!!!!!
Bora ulistuka
Ila nasikiaga eti ukidochwa huwa kuna ka utam
Ni kweli?
mmmm....imani hiyo Husninyo madhara yake umeyafahamu bila "kishikilio" cha hiyo imani.....halafu usipoonyesha viuongo vya uzazi utapataje watoto,.,,,mficha u.chi hazai:tape:
Amen!!!!!!!!!
amna utamu zaidi ya maumivu na kero ila hata me nasikiaga kwa watu wanasema hivyoooo...
angenidocha tu....
umeona eeeh! bila imani utamu wa hayo makitu ningekuwa siujui. lol, ila sina imani na wewe ankal.
Kama huwa husikiagi mautam kuna tatizo mahali
Na ukifanikiwa kuliondoa hilo tatizo utajua kuwa maihsa yana raha yake!
Ndo kufanywaje huko? N.B Natokea Sitimbi
kufanya s.e.x