Dah! usiombe hivyo nyuso zetu tutazificha wapi, unataka warudi usiku kwa kujificha kama ndege yetu iliyoenda SA.Team mali ya ccm vs Algeria
Hivi tangu afcon ianze kuna mtu ashawahi kachezea mkono wa nyani aka magoli 5
Ova
Mkuu yaani unataka tuunge mkono hawa mashetani? Juzi yamemvua lissu ubunge, binafsi siwaungi mkono ni bora tu warudi home kuja kutusaidia kupambana na haliπ¬
Halafu watu utakuta wanalia eti Mungu kawatupa. Sasa kwa mfano mechi ya Algeria vs TanzaniaCCM unaachaje kuweka mzigo wa maana? Yan leo naweka mzigo halafu natangulia kwa wakala ku withdraw kabla mechi haijaanza maana ni uhakika. Tanzania nawapendaga hawajawahi kuniangusha.Team mali ya ccm vs Algeria
Hivi tangu afcon ianze kuna mtu ashawahi kachezea mkono wa nyani aka magoli 5
Ova
Halafu watu utakuta wanalia eti Mungu kawatupa. Sasa kwa mfano mechi ya Algeria vs TanzaniaCCM unaachaje kuweka mzigo wa maana? Yan leo naweka mzigo halafu natangulia kwa wakala ku withdraw kabla mechi haijaanza maana ni uhakika. Tanzania nawapendaga hawajawahi kuniangusha.
Tanzania hata kwa Kenya niliwaambia watu "Mtoto halali na hela" mwishoni wakakubali!
Nawakumbusha tu wabongo kuwa hapo ukiweka laki 5 basi baada ya mechi unaingiza mshahara wa Makonda wa mwezi mzima. Umaskini tunautaka wenyewe!
Mshana Jr kuna watu hawajui kuwa ku navigate gizani ni taaluma kongwe, kwa hisani ya niliyemnukuu tafadhali shusha nondo (KATIBA INAKULINDA)Kuna kitu niliwahi kuwaza/tafakari.... kuna uwezekano mambo mengi hayaendi sawa kwa kuwa sala za watized wengi zinataka ccm ifeli thats why juzi makonda alipoenda kule sala/nuio la watu wengi lilitaka afeli ili asisumbue watu kwa maneno yake ya kejeli.
So, nina amini sasa, kila jambo wanaloshiriki ccm halitafanikiwa...... na endapo wataondoka madarakani, basi mambo mengi yataenda vizuri coz manuio/sala za watized wengi zitakuwa positive. chanting ina nguvu kubwa sana hasa idadi ya watu inapoongezeka hata Mshana Jr anajua na anaweza kueleza zaidi na kwa kitaalamu.
Hahaa hii ndiyo mechi ya kubet kwa uhakika?Halafu watu utakuta wanalia eti Mungu kawatupa. Sasa kwa mfano mechi ya Algeria vs TanzaniaCCM unaachaje kuweka mzigo wa maana? Yan leo naweka mzigo halafu natangulia kwa wakala ku withdraw kabla mechi haijaanza maana ni uhakika. Tanzania nawapendaga hawajawahi kuniangusha.
Tanzania hata kwa Kenya niliwaambia watu "Mtoto halali na hela" mwishoni wakakubali!
Mkuu leo ukitaka kunizuia nisibeti basi niue maana hata nikiumwa nikalazwa ICU bado nitabeti.Hahaa hii ndiyo mechi ya kubet kwa uhakika?
Afadhali, umesaidia kumuita angalau aje atuelezee kiroho zaidi, ila ni kweli sala na manuio uliosema yakiwa mengi yahusuyo chukizo hushinda kheri, watu wengi wakiomba dua mbaya huwa, na watu wengi wakiomba dua nzuri huwa, sasa hii ya kwetu ni kuwa ccm isifanikiwe, na ni kweli panapokua na ccm jambo hua haliendi, sio mpira tu, hata utungaji wa sheria, miswada ya dharura huko bungeni, makinikia nkπππKuna kitu niliwahi kuwaza/tafakari.... kuna uwezekano mambo mengi hayaendi sawa kwa kuwa sala za watized wengi zinataka ccm ifeli thats why juzi makonda alipoenda kule sala/nuio la watu wengi lilitaka afeli ili asisumbue watu kwa maneno yake ya kejeli.
So, nina amini sasa, kila jambo wanaloshiriki ccm halitafanikiwa...... na endapo wataondoka madarakani, basi mambo mengi yataenda vizuri coz manuio/sala za watized wengi zitakuwa positive. chanting ina nguvu kubwa sana hasa idadi ya watu inapoongezeka hata Mshana Jr anajua na anaweza kueleza zaidi na kwa kitaalamu.
Uwepo wa Bashite tu kwenye hii team tayari ni NAJISI...Pamoja na kuwa leo timu inatekeleza ilani ya Chama cha mapinduzi lakini ni ndugu zetu tuwaombee waishinde Algeria (Mbweha wa jangwani) kwa angalau (3 - 0) tupate nafasi ya best looser, wakati huo tusisahau kuwaombea majirani zetu Kenya nao wana kibarua kizito dhidi ya Simba wa Teranga Senegal.
Pongezi kwa Uganda kwa kuiwakilisha vyema EAC.
Kila la heri CCM Stars.
View attachment 1143393
ππππππππDah! usiombe hivyo nyuso zetu tutazificha wapi, unataka warudi usiku kwa kujificha kama ndege yetu iliyoenda SA.
Kenya anaelekea kuunyakua ubest loserUwepo wa Bashite tu kwenye hii team tayari ni NAJISI...
Go Kenya Go.