Tuition zilizoko dar za pre form 5

Tuition zilizoko dar za pre form 5

Kwanza naomba nikufahamishe kidogo hakuna kitu kinachioitwa pre form five. Wewe sahizi ni mkubwa unatakiwa kujitafutia sana kuliko kulishwa. Pili advance tuition inatolewa kitopic. So swali lako lingekuwa nataka tuition ya masomo fulani napata wapi?
 
asante kwa kunifumbua akili ila m nataka kusoma topic yoyote ya chemia au biology
 
CREATIVE TUITION, ya ukweli sana pale kuna mwalimu mzuri sana wa SET,Logic,trigonometric.coordinate1 and so on,mechanics GENERAL CHEMISTRY kwa mawasiliano wasiliana naye kwa namba 0767785095/0755626885.mahali ni BANANA kuelekea gongo la MBOTO karibuni sana
 
waungwana naomben mnitajie tuit za pre form 5 zilizopo dar kwa anaezijua

Lord Baden Powell Memorial High School huwa wanafundisha hiyo pre-fom five. Ni bording na ni full time. Ada ni 1,400,000 kama sikosei, kwa mwaka.
Ipo wilaya ya Bagamoyo.
 
asante kwa kunifumbua akili ila m nataka kusoma topic yoyote ya chemia au biology
physics kwa sir muddy na bios kwa mbwiga.nenda pale mchikichini. Kapewe nondo uwe na harufu ya a,b au c necta maana ni mwendo wa kumeza huko
 
Mi natafuta tuition ya Eca kwa anaejua wadau

ECA kama upo dar es salaam kuna bingwa mmoja anaitwa silunka kwa account.huyu jamaa huwa anapigisha pindi mapambano mwenge mkuu.la sivyo ngoja wengine waje.pia mchikichini kuna jamaa anaitwa henry sr wa account.yupo fresh mkuu.na eca hakunaga twishen ya commerce na masomo mengine,labda uchumi na account na hesabu kama haupo fresh.muhimu zaidi accounting.kuna dogo langu mwaka jana aliondoka kasha kata topic nyingi so now advance haimpi shida sana na anasoma goverment garanoc
 
Mimi ni kijana niliyehtmu kidato cha nne mwaka jana na ninakwenda kusoma EGM advance sasa katka kutafuta mwalimu wa tuition nimempata ila kaniambia kuwa topic moja atanifundsha kwa sh 15000 .Je n halal au nitafute m2 mwngne?
 
Jiongeze babu,kama ni ticha mzuri na anafahamika he is good 15k aint a thing ma man!kama ni kajanja wa f6 kula kona bro...angalia kwingine!QUALITY IS important.
 
ECA kama upo dar es salaam kuna bingwa mmoja anaitwa silunka kwa account.huyu jamaa huwa anapigisha pindi mapambano mwenge mkuu.la sivyo ngoja wengine waje.pia mchikichini kuna jamaa anaitwa henry sr wa account.yupo fresh mkuu.na eca hakunaga twishen ya commerce na masomo mengine,labda uchumi na account na hesabu kama haupo fresh.muhimu zaidi accounting.kuna dogo langu mwaka jana aliondoka kasha kata topic nyingi so now advance haimpi shida sana na anasoma goverment garanoc

NIMEIPENDA HYO MKUBWA,ni ushaur mzur nami nitapiga hyo hyo ECA
 
tuition nyingine ni magumashi sana, kuwa makini wakati wa kuchagua
 
sory ,et post zetu zinatoka ln kwa anayefahamu naomba anijulishe.pia napatikana fb
 
Back
Top Bottom