Tuition kwa Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha 5 -2016

Goodluck Mshana

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
1,271
1,119
Wazazi, Walezi na Wanafunzi

Kwanza hongera kwa kuchaguliwa Kujiunga Kidato cha cha 5 kwa mwaka huu mpya wa maisha yenu. Aidha hongera za dhati kwa wazazi na walezi kwa kujinyima na kuamua kuwekeza kwa watoto. Elimu.

Tunatambua investment ya wazazi na hivyo tumejipanga kumhakikishia mzazi na mtoto kuwa hawana muda wa kupoteza. Mtoto aliyechaguliwa kwa michepuo/combination za HKL/HGL/EGM n.k awasiliane na ofisi yetu kwa namba 0717935721 na atapatiwa maelekezo, ushauri na hata Shule ipi angependa mwanae aende (kama angependa kubadili Shule atakayo chaguliwa na Serikali au hata private).

Tunatambua una majukumu ya kiofisi na kukimbizana na maisha. Tuachie jukumu la KUMNOA mwanao na ufurahie kuingia kwake Chuo Kikuu. Wapo walimu wazoefu na wabobezi kwenye nyanja tajwa hapo juu. Hutajutia. Bei zetu zinazingatia kipato cha mtanzania.

LENGO NI KUTOA ELIMU. MALIPO UTAAMUA WEWE.

Tunapatikana Mbezi ya Kimara, Dar es Salaam, Wilaya ya Kinondoni.

Note:
Walimu wanaohusika na mpango huu ni;

1. Mwl. Goodluck Mshana ( Language 1) from Barbro Johannson Sec. School
2. Mwl. Doroster Mandes (Language 2) from Barbro Johansson Sec. School
3. Mwl. Batista Sanga (Economics) from Barbro Johansson Sec. School
4. Mwl. Benson Msemwa (History) from Alpha Sec. School
5. Anaklet Aletus (Mathematics) from Barbro Johansson Sec. School
6. Goodluck Nyamubwe (Geography) from Barbro Johansson Sec. School
7. Emmanuel Zablon (Physics) from Barbro Johansson Sec. School
8. Yesse Karunde (Kiswahili) from Barbro Johansson Sec. School

NAMNA YA KUSAJILI
Jiunge kwa namba ya Whatsapp 0717935721 au piga simu kwa namba hiyo hiyo.


Karibu sana Mzazi na Mwanafunzi. Muda ni sasa.


Goodluck Mshana
 
Back
Top Bottom