Huu sio wakati wa Party Supremacy, Makuzi yoyote ya kidemokrasia lazima yaambatane na changamoto, Dr. yupo well contented hivyo anaweza sana kutafsiri kwa ufanisi zaidi Mabadiliko ambao CDM wanasimamia, kamwe usiogope neno DEMOKRASIA, sasa ni wakati wa kufanya SIASA na sio HARAKATI.
Nafasi ya ukatibu haitaji sana political figure, bali strategy maker, na hivi ndio tutajenga CDM imara zaidi.
hapo kwa red, kwani mpaka aseme?
Jifunze kufikirisha akili...
Mimi nafikiri mke wa dr. Slaa achukue ukatibu mkuu na dr.slaa awe mwenyekiti sijui mnaionaje hiyo wazee
Umechoka, Zitto ndio hafai tena asubiri ubunge na uwaziri kama nchi itaenda wapendapo watz.Kila nafasi in amtu more competent kuliko yeye.
Mbowe alipo kafit, Dr. Slaa alipo amefit kabisa wapo akina Lissu,Mnyika etc.hawa sioni pa kumweka Zitto ambaye hajamake decision ktk chochote hata role model wake halisi majui kila siku na mwingine.Huku wakitofautiana sana kiasi cha kutoweza kuwachukua wote.
Kwa ujumla Zitto ndio biashara yaek imekwisha asubiri tuu kifo kutangazwa rasmi.Mkabila mkuu anayechukia wachaga na watu wengine wa kaskazini, soon ataongeza wengine katk list ya asiowataka,pengine ataenda ukanda wa akina Sugu kama CCM....Hafai kuwa kiongozi.
Hii taswira mnayoendelea kutujengea kwa Zitto siyo, jamaa bado ni mwanachama halali. Kama anaonekana kutuvuruga mbona viongozi wakuu (Mbowe, Slaa, Mnyika nk) hatujawasikia wakimnyooshea kidole kama mfanyavyo nyinyi humu. Zitto bado ni jembe na mchango wake ni muhimu kwny chama sasa na baadae.
Mi naona mke wa Dr.Slaa awe katibu wa CDM na Dr.slaa awe M/kiti sijui mnaonaje wazee
Ya nini?wakati muda bado.Bado yupo yupo akiwaua CCM kwa orgasmHivi Dr Slaa kishatangaza nia?
Wewe umegundua, akili ndogo inashauri akili kubwa. Katibu ana nguvu sana kiutendaji. Waache CCM wajichanganye wenyewe. Julius aliwaingiza mkenge kulinda madaraka yake sasa anataka kutultea CDM. Amekula chaka huyo.Kujitambulisha kuwa wewe ni mwanachama wa CHADEMA haitufanyi sisi werevu kugundua njama zako. Chama hata hakijashika DOLA unataka mabadiliko kusudi CHADEMA waanze kugongana wao kwa wao. Jiulize kwa nini mada yako hii inaungwa mkono na watu wale wale maadui wa Mbowe na Dr. Slaa na marafiki wa CC- na ZZK.