Baadhi ya post zinazoletwa hapa jamvini si tu za kitoto bali pia zimeletwa na watoto hasa. Kama utafuatilia kiundani utakuta ni post za wanafunzi ambao bado wako shuleni na hawana haki na mambo wanayoyazungumzia.
mimi ningeweza ningepunguza watu jukwaa la mmu....
na kuongeza watu jukwaa la bussiness...na jukwaa la tech and gadgets....
halafu tunashangaa why hatupigi hatua...
ungeanza kwa kuhama wewe ili uwe mfano wa kuigwa...
Sijakusoma...wal....
Kweli kabisa, na wengine utakuta wanaachia thread ishirini kwa siku utafikiri MMU ni spesho kwao tu, mmkuu thanx kwa mchanganuo huu
Hata jukwaa la siasa lipo poa. Hili jukwaa mnalipa nafasi kubwa pamoja na hilo jukwaa la siasa nadhani kwa sababu ya nature ya watu wetu (watanzania), tumekua tukipenda kutokujishughurisha kufikiri/kifikra sana, mapenzi yametawala akili na mawazo yetu sana. Hili jukwaa kwangu ni kama kijiwe cha kupiga soga tu!
Hahahaa! Kuna clients wana vichwa vya panzi, vilaza kinyama.. wanakuja humu kasaka mademu na kujisifia ktk ngono.mkuu acha hizo, hapa ndo mwisho wa matatizo mana solution zinatolewa hapa so is up to client kumeza au kutema!
&lt;br /&gt;<br /><br />
&lt;br /&gt;<br /><br />
Hahahaa! Kuna clients wana vichwa vya panzi, vilaza kinyama.. wanakuja humu kasaka mademu na kujisifia ktk ngono. ILA KWELI MMU KIBOKO, WATU WANATEMA MAMBO UCPIME! Imesababisha facebook niipotezee kitambo!
Gazeti kuna Idea ulikaribia kuigusa lakini hukui attack directly, there are some of the members who use complicated IDs then acting as if they are men while women and vice vesa,
In additition to that watu wanaleta utani MMU, wakati kuna jukwaa la utani, mtu anathubutu kuja na thread mbili yenye themes tofauti kabisa hadi unahisi kukasirika, mfn,
Demu wangu anapiga kelele hadi wapangaji wenzangu wananitaka nihame,
Huyohuyo member akaja na thread nyingine yenye title
Demu wangu analalamika eti mimi nina kibamia!!
sasa huu si mchezo wa kitoto?