laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 10,003
- 9,732
AIRTEL waliuziwa tu hisa za ZAIN...hawana kosa lolote lile na AIrtel nao wameinvest mtaji mkubwa sana hapo........serikali itakachofanya labda ni kununua hisa za AIRTEL ili iweze kuimiliki........AIRTEL hawana kosa lolote walilofanyaNi Uhuni ndio ulio badili ukweli lakin AIRTEL imezaliwa ndani ya TTCL kwa tafsiri nyingine ni kwamba mtaji wa kuiimarisha AIRTEL kufika hapo ilipo umetoka TTCL kwa maana hiyo TTCL lilikuwa daraja la kuivusha AIRTEL kwa hivyo AIRTEL imeitafuta TTCL kisawasawa na TTCL ikatafunika kweli kweli.
Mh rais tume ya makinikia ihamie huku kuna kitu utakipata muhimu kwa taifa hili.