Tuitarajie TTCL mpya heko mheshimiwa Rais imetosha sasa kuibiwa kijinga

Kkimondoa

JF-Expert Member
May 31, 2014
4,453
4,933
Nampongeza sana rais hasa kwa kuliona hili la hujuma dhidi ya TTCL.

Kwakweli mimi ni miongoni mwa wale wachache wapenda haki na usawa huwa nakusifia sana pale unapofanya vyema na huwa sisiti kuku kosoa pale mambo yanavyoenda hovyo kwa hili hongera sana mh Rais.

Nina uhakika majibu utakayo pata lazima Airtel iende TTCL hakuna namna kabisa hapa wameiba wametosha.
 
Nyie endeleeni kumjaza upepo kichwani tu.. Afu akishaharibu mje kufungua uzi kuwa watanzania wawe wazalendo
Kwa hili la Ttcl hapana sababu naijua TTCL kikamilifu na najua kuwa imetumia sana minara ya posta na simu kurusha mawimbi yake kabla ya kujitenga ,naifahamu AIRTEL tangu iliwa CELLNET na baadae CELTEL kisha ZAIN na sasa BART AIRTEL hapa ulifanyika ujanja wa hali ya juu Mh. Rais nikutie moyo 100% nipo nyuma yako mimi na familia yangu katika hili mashirika ya umma yarudi katika msingi wake.
 
Kwa hili la Ttcl hapana sababu naijua TTCL kikamilifu na najua kuwa imetumia sana minara ya posta na simu kurusha mawimbi yake kabla ya kujitenga ,naifahamu AIRTEL tangu iliwa CELLNET na baadae CELTEL kisha ZAIN na sasa BART AIRTEL hapa ulifanyika ujanja wa hali ya juu Mh. Rais nikutie moyo 100% nipo nyuma yako mimi na familia yangu katika hili mashirika ya umma yarudi katika msingi wake.
Who the hell are you in this country?

Haya. Yetu macho. Muda utasema.
 
Sasa unadhani seke seke likianza watu watabaki kama ilivyo?
Cha kushauri hapa ni kwamba pamojaa na kukuru kakara zitakazo anza kikubwa cha kuzingatia ni kupunguza usumbufu kwa mlaji yaan mteja , hivyo mgogoro huu kwanza waanze nao kwa makini sana ili wasi loose wateja wakati wa ufatiliaji huo.
 
Nampongeza sana rais wang hasa kwa kuliona hili la hujuma dhid ya TTCL Kwakweli mimi ni miongoni mwa wale wachache wapenda haki na usawa huwa nakusifia sana pale unapo fanya vyema na huwa sisiti kuku kosoa oale mambo yanavyo enda hovyo kwa hili hongera sana mh Rais nauhakika majibu utakayo pata lazima Airtel iende TTCL hakuna namna kabisa hapa wameiba wametosha ,
nani kakudanganya Airtel ni ya TTCL?.......
 
Kubisha ni kawaida ya kila mwenyw hulka ya kubisha kila kitu na kupinga kila kitu.
Hata kwenye makinikia ya acacia mlisema hivyo hivyo..

Kwenye bombadier na boeing dreamliner "terrible teen"pia mlisema hivyo hivyo

Saivi sizonje kaufyata tambo zote zimeishia chooni.

Mimi sipingi, ila kama ni kweli tutaona tu.
 
nani kakudanganya Airtel ni ya TTCL?.......

Hi All

I am very skeptical with some articles trying to portray Completely the truth of the Matter as this of TTCL, Its actually a scandal but the figures are not right. The truth of the Matters in a nutshell are:

Actual Selling price: $ 120 mil.
Initial Pay: $60 Mil
Final Pay: $ 5 Mil
Total Amount Paid: $ 65 Mil

Reason for underpayment: Audited account revealed that TTCL was a loss making Company and hence a review of Account was to be made which adjusted the value to that final figure. Big short who were behing that: Chenge who was then Minister of Infrastructure(During the selling was the Attoney General who participated in drafting the selling Contract), Sumaye (PM Then), etc.(the buyer MSI-Detecon Consortium 65% Government 35%)

During selling TTCL had a mobile license which was transfered to Celtel(which become 100% owned by TTCL ) and became operational 2003 by using the money paid during purchase as the government had no capital to inject in the mobile roll out, 2005 MSI-DETECON Consortium split, became MSI International only as Manager and brought an Idea of Separating TTCL and Celtel without thinking of paying back the government capital. The Celtel Int. 60% Government 40 %.

Since then I am very sure whether the government has ever received its divident, the 60% as has been changing hand to new investors while the government remain with 40% at stake. It has moved from Celtel to ZAIN now AIRTEL.

Whoever has got different facts whether from TTCL, Government should come up to construe mine.

Thanks

wbr.
 
Hata kwenye makinikia ya acacia mlisema hivyo hivyo..

Kwenye bombadier na boeing dreamliner "terrible teen"pia mlisema hivyo hivyo

Saivi sizonje kaufyata tambo zote zimeishia chooni.

Mimi sipingi, ila kama ni kweli tutaona tu.
Na hilo ndilo jibu zuri ''TUSUBIRI
 
nani kakudanganya Airtel ni ya TTCL?.......
Ni Uhuni ndio ulio badili ukweli lakin AIRTEL imezaliwa ndani ya TTCL kwa tafsiri nyingine ni kwamba mtaji wa kuiimarisha AIRTEL kufika hapo ilipo umetoka TTCL kwa maana hiyo TTCL lilikuwa daraja la kuivusha AIRTEL kwa hivyo AIRTEL imeitafuta TTCL kisawasawa na TTCL ikatafunika kweli kweli.
Mh rais tume ya makinikia ihamie huku kuna kitu utakipata muhimu kwa taifa hili.
 
Back
Top Bottom